Ulitaka aandike rungu nyama ama?mkuu atoe ufafanuzi rungu lipi mi bado sijaelewa!
Hahaa!...pembe alikuwa nayo mawili.Ni vyema waseme ni 'rungu' lipi watamkabidhi nanilii.mkuu atoe ufafanuzi rungu lipi mi bado sijaelewa!
Rungu la pembe.mkuu atoe ufafanuzi rungu lipi mi bado sijaelewa!
Tuwaachie family maana ndo wana uamzi wa mwisho kwenye hiliBambo naye analitaka! Ila familia imesema inampatia Samia
Wanadai rambi rambi kijanja tu hao
Mbinguni huendi🤣🤣🤣mkuu atoe ufafanuzi rungu lipi mi bado sijaelewa!
Tutashuhudia Likisindikizwa na ulinzi mkaliNgoja tuone Rungu likienda Ikulu
Pembe kafariki lini mkuu?