Rungu la TCRA lawashukia Wasafi Tv, Clouds FM, Carry Mastory, Radio one na RFA kwa kurusha maudhui yaliyo kinyume na Sheria

Duh! Huyo mods wa sasa TCRA ni hatari
 
Kwani Jahazi kina maudhui gani? Mkuu na uhusiano gani na DJ JD maana huwa issue nyingi sana za JD unatujuza hata anavyopiga muziki pale Morocco.
 
Mbaya zaidi watu wanajua ni ccm ndio imesababisha...
Unajua ile ststion inakoelekea akileta undezi pale kuna siku mmoja baada ya mwingne atatfuta njia yake...wamekosa attention kama za zamani..kipindi cha shilawadu kikowapi???walikuwa hawatoi taarfa za wcb lakini siku hizi kila siku wanatoa taarfa za wcb tu..unafiki una mwisho mbaya sana aisee
 
TCRA sasa imebaki tu kutupangia muda wa kulala na idadi ya mabao kitandani. They are wasting efforts on useless things.
Sheria ziko pale kufuatwa na sio vingnevyoo..ndomaana ukitaka kujiua hakikisha unakufa ukipona gvt wanakwambia ww ni mali ya gvt na sio vingnevo...jera unaenda kukaa numa ya nondo mkuu
 
Wanatakiwa wajue ile station wanakwama wapi...wanakoelekea hawana muda mwing sana wataisoma namba....wanaishi kwa ajili a umaarufu tu siku hizi na sio vingnevo
 
TCRA sasa imebaki tu kutupangia muda wa kulala na idadi ya mabao kitandani. They are wasting efforts on useless things.
Daaaah inaniuma zaidi nikifikiria mdogo wangu pale TCRA ndiye anayehusika na haya matamko yasiyo na tija yoyote kwa mustakabali wa taifa hili.
 
Daaaah inaniuma zaidi nikifikiria mdogo wangu pale TCRA ndiye anayehusika na haya matamko yasiyo na tija yoyote kwa mustakabali wa taifa hili.
Kwan wakuu wangapi wa mkoa wametunyesha hapa nchi nzima ....ukishakuwa na meno kwenye nchi hii ni ww tu kazi kwako
 
Kazi imeanza... sasa hivi ni vipindi vya kusifu tu na kuabudu ndivyo vinahitajika. We have a long way to go....
Waswahili wanakwambia anaecheka mwisho anacheka sana na sio vingnevo..ila wale kina dada wa women matters mmhh hawajielewi kiukweli walipe faini tu
 
Hapo Clouds wanakata rufaa kwa nani? Labda mahakamani ...
 
mkuu nje ya mada kuna jamaa mmoja ana vocal la hatari huwa mara kadhaa anawatengenezea ma Djs jingle mfano Dj dea ile profesional dj ddj dea

vipi mkuu jamaa anaitwa nani huyu
Good idea pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…