MTAZAMO
JF-Expert Member
- Feb 8, 2011
- 19,675
- 33,583
Duh! Huyo mods wa sasa TCRA ni hatariKosa lao ni>>Kamati ya Maudhui ya TCRA imekifungia kipindi cha Jahazi Cha Clouds FM kwa kosa la kurusha maudhui yenye kuchochea kujichua sehemu za siri na ngono. Aidha, Clouds FM imetakiwa kutokujaza muda huo kwa kipindi kingine chenye maudhui sawa na Jahazi