Watachapwa sanaSafi sana mimi nataka chaneli zote zinazojipendekeza zilambwe...kila mtu atapigwa spana kwa wakati wake mpaka akili ziturudie kwa kosa la kukabidhi nchi kwa kikundi cha watu wachache.
Gardner ndio huwa anafanya hivyo, lakini kufuta kabisa kipindi Ni hatua Kali Sana, angalau wangewaita na kuwapa OnyoKipindi cha jahazi, wao kila neno wanaligeuza kingonongono tu, hasa yule anayejiita Bantu, afadhali wamefungia.
Sauti maarufu zaidi ni ML Chriss ila kwa siku hizi sifahamu. Ila Ray Mshana amefanya mengi piamkuu nje ya mada kuna jamaa mmoja ana vocal la hatari huwa mara kadhaa anawatengenezea ma Djs jingle mfano Dj dea ile profesional dj ddj dea
vipi mkuu jamaa anaitwa nani huyu
Kwa sheria mpya kinapaswa kuanza saa sita usiku [emoji41]Hivi ala za roho cha diva bado kipi?
Mara ya ngapi sasaBiashara ya Media imekuwa ngumu Sana awamu hii.
Dah jahazi limezamishwa na ngono
View attachment 1536961
Safi sana hiiClouds na kunipendekeza oote wamepigwa ban
Wajiajiri au wakaombe kufagia ofisi za ccm km LijualikaliJahazi limezamia mto Ngono...
Dah sijui itakuwaje kwa production crew yote ya jahazi na watangazaji wake.
Sawa mkuu ila nime attach na audio hapo juu unaweza kumsikilizaKwa sheria mpya kinapaswa kuanza saa sita usiku [emoji41]
Hiyo sauti ina sound effects sidhani kuna mtu ana sauti hiyo exactly. Anaweza kuwa Seba Maganga [emoji41]sawa mkuu ila nime attach na audio hapo juu unaweza kumsikiliza
🤣 🤣 🤣 🤣Hizi ni SPANA mkuu. Watu wanaweza kuamua kupiga miziki tu hadi kupoe [emoji41][emoji41]
Safi sn na yawakute tu..... Hatuna huruma nao kabisana watangazaji wao akina sam wafupi kila muda kusifia visivosifika..yatawakuta mambo wale