Rungu la TCRA lawashukia Wasafi Tv, Clouds FM, Carry Mastory, Radio one na RFA kwa kurusha maudhui yaliyo kinyume na Sheria

Rungu la TCRA lawashukia Wasafi Tv, Clouds FM, Carry Mastory, Radio one na RFA kwa kurusha maudhui yaliyo kinyume na Sheria

Safi sana mimi nataka chaneli zote zinazojipendekeza zilambwe...kila mtu atapigwa spana kwa wakati wake mpaka akili ziturudie kwa kosa la kukabidhi nchi kwa kikundi cha watu wachache.
Watachapwa sana
 
Kipindi cha jahazi, wao kila neno wanaligeuza kingonongono tu, hasa yule anayejiita Bantu, afadhali wamefungia.
Gardner ndio huwa anafanya hivyo, lakini kufuta kabisa kipindi Ni hatua Kali Sana, angalau wangewaita na kuwapa Onyo
Hata kutozwa faini hawajastahili

Rais Mara nyingi nae hugeuza maneno kuwa na maana ya matusi au ngono, mfano 'mnataka mpanuliwe wapi? 'Katikati Ni Patamu' ' Barakoa imekaa Kama titi'
 
mkuu nje ya mada kuna jamaa mmoja ana vocal la hatari huwa mara kadhaa anawatengenezea ma Djs jingle mfano Dj dea ile profesional dj ddj dea

vipi mkuu jamaa anaitwa nani huyu
Sauti maarufu zaidi ni ML Chriss ila kwa siku hizi sifahamu. Ila Ray Mshana amefanya mengi pia
 
Dah jahazi limezamishwa na ngono
images (9).jpeg
 
Huu ni mradi wa mapato haramu ya ccm km wanavyofanya traffic barabarani.....

Safi sn c Hivi vyombo vyote vimetishwa kufanya coverage ya matukio ya Chadema vikidhani ndo vinakua salama!!

Sisi tunawaambia maendeleo yana vyama lkn udikteta hauna vyama wala taasisi......
 
Kama Clouds FM wapo humu naomba tuwasiliane PM nina idea ya bonge ya kipindi cha jioni tofauti na maudhui ya Jahazi
 
Kwani kujichua ni kosa kisheria? Why huu ujinga! Mbona kujichua inasemekana kumepunguza sana ngono katika umri mdogo nz kuzuia sana STIs kwa vijana. Shame on the tyrant himself
 
Kuna swali hapa la kujiuliza, hizi radio zote zilifanya kosa siku moja?? Kama Ni hapana kwanini zipewe onyo siku moja??? Tutafika tu.
 
Back
Top Bottom