Rungu la TCRA lawashukia Wasafi Tv, Clouds FM, Carry Mastory, Radio one na RFA kwa kurusha maudhui yaliyo kinyume na Sheria

Biashara ya media imekuwa ngumu sana,makampuni yamepunguza sana bajeti za matangazo,na tcra wanaendeleza yao..ila pia Jahazi wanatumia maneno makali sana bila tafsida,ila hii adhabu nzito sana
 
Napendekeza ibaki TBC ...radio na TV tu. Magazeti Uhuru linatutosha...

Smartphone zote zisiruhusiwe tubaki na vi torch aka viswaswadu...kupiga na kupokea.

Haya yote ni ku enzi utawala Bora wa chama cha Mapinduzi toka mwaka 1977.
 
Mguse Lissu unuke[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Daah noma sanaa
 
vipindi vyote vya TBC vihamishiwe kwenye media zingine ili mtukufu asiguswe hata kidogo!!
 
Target kubwa hapo ni kuzuia BBC Swahili kwenye radio one na radio Free Africa.. Hao wengine wamewekwa kama chambo tu...

Sasa kitu aongee Lissu halafu redio ifungiwe.... Hao wafanyakazi wa redio nchi nzima watakula mawe.... Hii nchi ina uFalla sana
 
Kwani kujichua ni kosa kisheria? Why huu ujinga! Mbona kujichua inasemekana kumepunguza sana ngono katika umri mdogo nz kuzuia sana STIs kwa vijana. Shame on the tyrant himself
Wewe leo wafundishe wanao jinsi ya kujichua.
 
Ndomaana mm nakuwa makini sana kwenye kuongea siku hizi ukishajisahau tu utajikuta central nyuma ya nondo..nyuma ya pazia kuna mtu amekuweka kisa yeye ni Fulani au ana cheo fulani
Kwahiyo wewe ndiyo unaifurahia hiyo hali ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…