secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,843
- 8,637
Nelson Mandela aliwahi kuandika kitabu kinaitwa No easy walk to freedom......
kasomeni kike kitabu......
kasomeni kike kitabu......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu weka softcopy hapaNelson Mandela aliwahi kuandika kitabu kinaitwa No easy walk to freedom......
kasomeni kike kitabu......
Wewe leo wafundishe wanao jinsi ya kujichua.Kwani kujichua ni kosa kisheria? Why huu ujinga! Mbona kujichua inasemekana kumepunguza sana ngono katika umri mdogo nz kuzuia sana STIs kwa vijana. Shame on the tyrant himself
Nasikiliza hapa Gadina yupo lakini nasikia maudhui kidogo yanatofautiana na Jahazi ya kitambo.Sijasikia hata tangazo la Jahazi.
Ulitakaje?Mbona JAHAZI iko kwa hewa muda huu? Acheni uzzushh
Kwahiyo wewe ndiyo unaifurahia hiyo hali ?Ndomaana mm nakuwa makini sana kwenye kuongea siku hizi ukishajisahau tu utajikuta central nyuma ya nondo..nyuma ya pazia kuna mtu amekuweka kisa yeye ni Fulani au ana cheo fulani