Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nilichokuwa siwafiki ni muda wa vipindi kama hivi iwe kuanzia saa 4 za usiku mpaka saa 11 alfajiri. Lakini neno hata likiwa tusi linawakati wake wa kutamkwa na ndio likaweza kuexist hilo neno.Gadner G habashi Hana tafsida wala break kutaja maneno. Kama Jana alitamka neno SHAHAWA, Mara nyingi Sana maneno ya ngono huwa anatamka bila wasiwasi Kama chupi,mavi,shahawa,demu,kujichua,malaya,tendo LA ndoa linavyofanyika etc ambayo hayana staha.. Mimi naona jahazi na clouds hawajaonewa kabisa