Rungu la TCRA lawashukia Wasafi Tv, Clouds FM, Carry Mastory, Radio one na RFA kwa kurusha maudhui yaliyo kinyume na Sheria

Rungu la TCRA lawashukia Wasafi Tv, Clouds FM, Carry Mastory, Radio one na RFA kwa kurusha maudhui yaliyo kinyume na Sheria

Hiyo adhabu inaanza lini maana nasikia mpaka mda huu jahazi liko hewani
 
Safi Sana piga Pini hao clouds na wengine wote tuzungumze lugha moja
 
Nani ameona maneno lisu na chadema yametajwa mara ngapi kwenye hizo spana?

ndio utajua hujui
 
Hisabati imeanza kueleweka kipindi hiki,, Watu wajue namba za kirumi ni kusema nini.
 
Sijaona Media yoyote imekuwa banned au penaltized kwa kusifia uongo serikali
 
TCRA waihamishie tu Wizara ya FEDHA maana sio kwa kasi hii ya kukusanya pesa.
 
Naona vyombo vimekumbushwa tu kuwa ole wenu,tunaweza chukua leseni mrudi mkalime.

Sasa ni mwendo wa mapambio tu.
 
Naona vyombo vimekumbushwa tu kuwa ole wenu,tunaweza chukua leseni mrudi mkalime.

Sasa ni mwendo wa mapambio tu.
 
Back
Top Bottom