Rungu la TRA limepita na wengi mtaani kwetu

Rungu la TRA limepita na wengi mtaani kwetu

OgaBoy

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2022
Posts
1,531
Reaction score
2,140
Vipi uko kwenu huku hadi vibanda vimefungwa sana.

Shida nini? Watu wanaanza biashara wengine mitaji michanga ukirogwa ukaingia kwenye frame na mtaji madogo unaumia
 
Vipi uko kwenu huku hadi vibanda vimefungwa sana.
Sasa. Shida nini watu wanaanza biashara wengine mitaji michanga ukirogwa ukaingia kwenye frame na mtaji madogo unaumia
Wapi
 
Back
Top Bottom