O OgaBoy JF-Expert Member Joined Aug 22, 2022 Posts 1,531 Reaction score 2,140 Jun 19, 2024 #1 Vipi uko kwenu huku hadi vibanda vimefungwa sana. Shida nini? Watu wanaanza biashara wengine mitaji michanga ukirogwa ukaingia kwenye frame na mtaji madogo unaumia
Vipi uko kwenu huku hadi vibanda vimefungwa sana. Shida nini? Watu wanaanza biashara wengine mitaji michanga ukirogwa ukaingia kwenye frame na mtaji madogo unaumia
M Mpucha JF-Expert Member Joined Jun 11, 2012 Posts 1,232 Reaction score 1,592 Jun 19, 2024 #2 OgaBoy said: Vipi uko kwenu huku hadi vibanda vimefungwa sana. Sasa. Shida nini watu wanaanza biashara wengine mitaji michanga ukirogwa ukaingia kwenye frame na mtaji madogo unaumia Click to expand... Wapi
OgaBoy said: Vipi uko kwenu huku hadi vibanda vimefungwa sana. Sasa. Shida nini watu wanaanza biashara wengine mitaji michanga ukirogwa ukaingia kwenye frame na mtaji madogo unaumia Click to expand... Wapi
O OgaBoy JF-Expert Member Joined Aug 22, 2022 Posts 1,531 Reaction score 2,140 Jun 19, 2024 Thread starter #3 Mpucha said: Wapi Click to expand... Kwetu
RRONDO JF-Expert Member Joined Jan 3, 2010 Posts 55,727 Reaction score 123,094 Jun 19, 2024 #4 Serikali isiyokusanya kodi huwa inahangaika na viwatu vidogodogo.
Isanga family JF-Expert Member Joined Feb 25, 2015 Posts 17,080 Reaction score 33,076 Jun 19, 2024 #5 Mizigo mikubwa inapita bure Bandarini wapo busy kusumbua Wasaka nyoka...
muhomakilo jr JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 15,301 Reaction score 13,858 Jun 19, 2024 #6 Isanga family said: Mizigo mikubwa inapita bure Bandarini wapo busy kusumbua Wasaka nyoka... Click to expand... GSM wa Utopolo amulikwe.
Isanga family said: Mizigo mikubwa inapita bure Bandarini wapo busy kusumbua Wasaka nyoka... Click to expand... GSM wa Utopolo amulikwe.