RUNGU: TCRA imeitaka Wasafi TV kusitisha matangazo kwa Miezi Sita (6) kuanzia leo kwa kurusha Maudhui ya utupu

Jiombee mwenyewe mwenye njaa, hao hawana njaa kama wewe,
Pia kutunga sheria sio kwamba wewe uliyetunga haitakudhuru, cha msingi wewe uifuate sheria na kuitii kama ulivyo itunga.
Kufungiwa wasafi hakuwezi kumlaza njaa diamond hata kidogo.

Ninachokiona chadema kama wangeshika madaraka kila kibaraka aliyesaidia kushinda wangemwabudu na kumpa uhuru wa kufanya uhalifu wowote bila kumchukulia hatua.
Na ndio maana mlitaka kuwapa rasilimali zetu tukawastukia.
Mgeshikwa matakoni, masikioni na machoni huku mkitikisa mikia.
 
Wakitumaliza sisi watakuja kwenu, upinzani walishatoa hili angalizo kitambo tu.
Kwa hiyo ni mwendelezo wa yale ambayo yalionwa na upinzani
 
Ninachokiona chadema kama wangeshika madaraka kila kibaraka aliyesaidia kushinda wangemwabudu na kumpa uhuru wa kufanya uhalifu wowote bila kumchukulia hatua.
Kwa kweli hata mimi imenishangaza. Kama uwezo wao wa kufikiri ndio huu. Mmmh.
 
Kwi Kwi Kwi
 
Sasa Tigo wamefanya nini,wao wametoa kudhamini tamasha.
 
Me nimeshazi master za kirumi,, [emoji23][emoji23][emoji23].
Ngoja nijikumbushie kidogo

.....,. I. II. III IV, V, VI, VII, VIII,......
Kweli umemasta, 😆
Uje huku alpha, beta, gamma, kappa,
Aliphe, be, he ...yaani tutaelewana tu 5 ndiyo inaanza!

Everyday is Saturday................................😎
 
Gigy money atalipa ela
Ila jamani haya macho yetu waTanzania huwa yanavunja maadili tukiona wasanii wa Ndani tu maana wakina Lady gaga,madona mbona tunaona mata.ko yao huku DSTV bila shida ila tako la Gigy limefungisha virago vya WCB?
 
Lini TBC waliwahi onesha vile wakaomba radhi?
 
Kwa meneno mengine mleta mada ana maanisha kwamba kwa vile akikuwa aanamshabikia LISU, kama angeshinda urais, hangewafanya lolote wafuasi wake hata wakifanya kosa.

Hizi ndio akili za wana bavicha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…