RUNGU: TCRA imeitaka Wasafi TV kusitisha matangazo kwa Miezi Sita (6) kuanzia leo kwa kurusha Maudhui ya utupu

Lini TBC waliwahi onesha vile wakaomba radhi?
Matukio ya kufanana na hivyo huwa yanatokea haswa pale yanaporushwa mubashara TBC nimechukulia kama mfano ningeweza kusema etv au hata clouds pia
 
Hao TCRA itabidi wapunguziwe mamlaka, itakuwa wanatumika tu na washindani wa kibiashara wa watu.

Miezi sita as if wametangaza kupindua serikali.

Hizo ni ajira za watu na ni uwekezaji pia lazima adhabu zizingatie na hayo.
Wewe unadhani wamekurupuka tu?Lazima watakuwa wamezingatia sheria na kanuni za urushaji matangazo.
 
Ukiona hujaelewa jua haikuhusu.

Wapinzani hawapo ulingoni saivi wanadeal na CCM wenzao wakati mbowe anabomolewa nyumba, kuharibiwa mashamba walikuwa wanacheka Sasa Ni zamu yao.

Hata kama wanakosea ....wanavunja sheria, maadili waachwe tu jamani....

Khaaa

Huu ushabiki kiboko
 
Aiseee miezi sita ni parefu sana, TCRA waaliangalie hili upyaa. Kama ni miezi sita basi wasafi imepotea kabsa.

Kuna ajira za watu hapo na wanasomesha watoto wao sasa sijui watoto watalipwaje Ada.
Kwahiyo kama kuna ajira za watu ndio sheria isizingatiwe?Mbona ni utetezi usio na mashiko kabisa.
 
Kwahiyo kama kuna ajira za watu ndio sheria isizingatiwe?Mbona ni utetezi usio na mashiko kabisa.
Watz tuache tu.. tuko very comfortable kuvunja sheria kama kwa kufanya hivyo inatufavor... Watu wanapenda huu upuuzi.. kutetea ajira ni kuhalalisha wao waendelee kuona ujinga mwingiiii...
 
Waziri mwenye dhamana amewapa miezi mitatu wamiliki wa mtandao wakae chini warekebishe.
 
mwenye shibe hamjui mwenye njaa
 
Wasifa TV ni kituo cha hovyo kinaendeshwa na watu wasiokuwa na utaalumu.
Miongoni mwa TV ambayo siipendi kutazama
Wasafi TV inawezekana ikawa inatumika na watu kupitisha Agenda zao
 
Kuna watendaji wengi mbumbumbu pale.
Wasifa TV ni kituo cha hovyo kinaendeshwa na watu wasiokuwa na utaalumu.
Miongoni mwa TV ambayo siipendi kutazama
Wasafi TV inawezekana ikawa inatumika na watu kupitisha Agenda zao
 
Je wanaruhusiwa kukata rufaa? Na msanii afungiwe muda zaidi. Si hekima imediate cause aachwe., itaonekana ni chuki za kibiashara.
All in all media nyingi za Bongo zinaonyesha upuuzi upuuzi. Huwa nahisi zinatumika kurahisisha mambo ya ndoa za jinsi moja.
 
Mi naona ni sawa tu, maana hawa wasafi wameshawahi kufungiwa wasafi tour kwa makosa haya haya ya kijinga baadae wakasamehewa, juzi tu hapa wametoka kufungiwa redio na hata kuhusu hilo la Gigy money nasikia sijui kahama alipanda na chupi jukwaani wakapewa onyo bado hawakutaka kujifunza na ndo maana ile juzi walijiwahi kuomba radhi wakitegemea wao ni vijana bado wachanga kama mnavyosema na kwa hiyo wasichukuliwe hatua yoyote. Kwanini wanakuwa na makosa ya kujirudia hawataki kubadilika
 
Kujifunza sio lazima iwe adhabu, ata kueleweshwa pia ni mbinu provided its the first offence.

Hii ni mara ya ngap kufungiwa? Wamekua nani wao wasipewe adhabu mxieew mnawaogop au
 
Matukio ya kufanana na hivyo huwa yanatokea haswa pale yanaporushwa mubashara TBC nimechukulia kama mfano ningeweza kusema etv au hata clouds pia
Lini na tukio lipi? Au unadhani TV unayo peke yako??
 
Lini na tukio lipi? Au unadhani TV unayo peke yako??
Iko ivi mfano nimehudhuria kwenye shughuri ya kiserikali ambayo inarushwa mubashara na TBC Mimi nikiwambele ya kamera labda nasoma risala mala paap nikavua suruali yangu nikapandisha na shati kuonesha utupu wangu ghafla...



Hapo TBC watatakiwa wafungiwe mkuu au Mimi nipewe adhabu?
 
TBC wapo fasta kukata,mfano mzuri wakati wa kampeni hasa upande wa upinzani. Kile kitendo cha kushika suruali tu kinawapa ishara mbaya wanakuwahi either kubadili angle ya kamera au kuzima matangazo kwa muda
 
Alianza Baba Levo sasa Gigy Mane anaenda kuwapa kufuli la kufa mtu.
hoja ni moja je kufungia tv ndo suluhisho..yaani ukimkosea mama kukupiga kila siku ndo suluhisho hilo au ndo anakufanya unakuwa sugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…