Umewasahau na wale ETunataka nidhamu
Maana sahv wadangaji watangazaji
Marioo watangazaji
Wasani wapo wadangaji tu
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Wasafi Wenyewe wana akili gani.Yule demu akili Hana.
Sijui kwanini wasafi usa wanambeba
Anasubiria teuzi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kwani makonda anasemaje!!
Alafu sijui hako ka Zuchu huo umaarufu kanautoa wapi na kwa lipi haswaaaa@"Wapinzani watetereke" By Chuchu sijui Zuchu
Hapana. Miez sita n mingi Sana Kuna wengi wata umia Sana hasa wanao tegemea ajira kutokea hapoView attachment 1668924View attachment 1668925
Em waza Tena kuhusu wale vijana wanao tegemea mshahara pale wataenda wap?Hiyo adhabu ni ndogo sana. Ilibidi 2 years.
Wajifunze kuheshimu faragha na maumbile ya mwanadamu.
Vile ni redioHii ban itamhusu na Maulid Kitenge na vile vipindi vyake vya ki sports sport? ……..
Wataenda popote, kwahiyo wasionywe kisa watakuwa hawana ajira? Hakna hiyo.Em waza Tena kuhusu wale vijana wanao tegemea mshahara pale wataenda wap?
[emoji1666][emoji1666]Wataenda popote, kwahiyo wasionywe kisa watakuwa hawana ajira? Hakna hiyo.
Sheria ni msumeno, hukata huku na huku. Safi kwa TCRA kufanya kazi yao kwa weledi
Hata mm sijaelewa hapa. Kwnn lknHii ni sheria ya kijinga sana, eti Mtu atumie silaha kufanyia uhalifu mtu huyo ahukumiwe adhabu pamoja na silaha yake aliyoitumia!!!??.
Kituo cha TV kina kosa lipi hadi kifungiwe??
Kumbuka hawakujua Kama n kosa[emoji849]Wakiumia ndiyo watakuwa makini kurusha maudhui yanayokubalika sawa na miongozo ya TCRA na utamaduni wa kitanzania. Huwezi kuacha kuadhibu kisa kuna watu wataumia, maana hata wafungwa wapo waliokuwa wanategemewa na familia zao ila kwa kuwa walitenda makosa hakuna namna
Yaani TCRA sijui wanakwama wapi, miezi 6 michache saaaaaaanaHiyo adhabu ni ndogo sana. Ilibidi 2 years.
Wajifunze kuheshimu faragha na maumbile ya mwanadamu.