LGE2024 Rungwe: Hivi ndivyo Wagombea wa CHADEMA walivyochukua fomu za kugombea Uenyekiti wa Serikali za Mitaa

LGE2024 Rungwe: Hivi ndivyo Wagombea wa CHADEMA walivyochukua fomu za kugombea Uenyekiti wa Serikali za Mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Kama ulidhani Uchaguzi huu ni lelemama, na labda ulitarajia Wagombea wako watapita bila kupingwa kwa vile kuna kitisho cha kutekwa na kuuawa, basi anza kutafakari Upya

Hawa hapa ni Wananchi wa Kata ya Ndato wakiwasindikiza Wagombea wa Chadema kuchukua fomu.

Soma Pia: CHADEMA waanza kuchukua fomu, wasema " Mwaka huu hatutakimbia"

Screenshot_2024-10-28-17-21-00-1.png
Screenshot_2024-10-28-17-20-52-1.png
Screenshot_2024-10-28-17-20-43-1.png
Screenshot_2024-10-28-17-20-34-1.png
Screenshot_2024-10-28-17-21-26-1.png

UJUMBE: FISI HATOACHIWA BUCHA
 
Kama ulidhani Uchaguzi huu ni lelemama, na labda ulitarajia Wagombea wako watapita bila kupingwa kwa vile kuna kitisho cha kutekwa na kuuawa, basi anza kutafakari Upya

Hawa hapa ni Wananchi wa Kata ya Ndato wakiwasindikiza Wagombea wa Chadema kuchukua fomu.

Soma Pia: CHADEMA waanza kuchukua fomu, wasema " Mwaka huu hatutakimbia"

UJUMBE: FISI HATOACHIWA BUCHA
Makumbusho jana ilikuwa 🔥🔥🔥
Mpaka wastaafu jioni ili wakawa kama wamepagawa , eti ooh natumaini nitashinda nikishindwa nitaenda kuchoma mkaaa 🤣🤣🤣
 
Maccm yanajamba sasa hivi. Hayajui i hayajui watu wa eneo gani watakisanua
Tatizo la chadema ni kuwa na wanachama kama wewe, chadema wameshindwa kuweka wagombea nchi nzima, unalijua ilo?
 
Mwanaume unakuaje ccm mwanaume halisi unakua mpinzani iwe cuf,Act,wazalendo chadema chauma n.k
 
Mm nataka wote tujiandikishe ,wote waweke wagombea ,uchaguI huru na wa amani ,Mungu bariki tz
 
Back
Top Bottom