Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Chadema wakiweka nguvu Mbeya watachukua maeneo mengi, huko Rungwe CCM wengi ni wazee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmeandikisha wanafunzi mliowanyima madawati, mnategemea nini?Bila shaka ni wetu.
Nashangaa hata mimisi ndio hawa waliosusa kujiandikisha gentleman?![]()
Muda ndio utakujibuUkiondoa Rungwe wapi kwingine. Ama ndo wameanza. Siku hizi cdm ya baridiiiii in jk voice
Nafurahia sana na kupenda juhudi zako za kutuletea taarifa, mkuu, Erythro. Natamani sana nchi nzima ingekuwa na mwonekano wa aina hii; hapo hata CCM ingewastua, kwa sababu wange anza kupiga mahesabu upya.Kama ulidhani Uchaguzi huu ni lelemama, na labda ulitarajia Wagombea wako watapita bila kupingwa kwa vile kuna kitisho cha kutekwa na kuuawa, basi anza kutafakari Upya
Hawa hapa ni Wananchi wa Kata ya Ndato wakiwasindikiza Wagombea wa Chadema kuchukua fomu.
Soma Pia: CHADEMA waanza kuchukua fomu, wasema " Mwaka huu hatutakimbia"
View attachment 3137415View attachment 3137416View attachment 3137417View attachment 3137418View attachment 3137419
UJUMBE: FISI HATOACHIWA BUCHA
Mungu baba Ibariki CHADEMAKama ulidhani Uchaguzi huu ni lelemama, na labda ulitarajia Wagombea wako watapita bila kupingwa kwa vile kuna kitisho cha kutekwa na kuuawa, basi anza kutafakari Upya
Hawa hapa ni Wananchi wa Kata ya Ndato wakiwasindikiza Wagombea wa Chadema kuchukua fomu.
Soma Pia: CHADEMA waanza kuchukua fomu, wasema " Mwaka huu hatutakimbia"
View attachment 3137415View attachment 3137416View attachment 3137417View attachment 3137418View attachment 3137419
UJUMBE: FISI HATOACHIWA BUCHA
Wana haki ya kuchagua kama wana sifa. Sheria iko wazi kabisaa.Mmeandikisha wanafunzi mliowanyima madawati, mnategemea nini?
AmenMungu baba Ibariki CHADEMA
Unatia Aibu ukiwa wapi?Tatizo la CHADEMA ni Mbowe atoke
Utasikia CCM wameandikisha Wanafunzi 😂😂