K Kalamu Platinum Member Joined Nov 26, 2006 Posts 12,096 Reaction score 15,393 Oct 29, 2024 #41 Mshana Jr said: Mungu baba Ibariki CHADEMA Click to expand... Hapa unakuwa "mbaguzi" waziwazi. "Mwana na Roho Mtakatifu" wote ni Umoja.
Mshana Jr said: Mungu baba Ibariki CHADEMA Click to expand... Hapa unakuwa "mbaguzi" waziwazi. "Mwana na Roho Mtakatifu" wote ni Umoja.
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 47,706 Reaction score 69,281 Oct 29, 2024 #42 johnthebaptist said: Utasikia CCM wameandikisha Wanafunzi ๐๐ Click to expand... Kwani uongo?Wameandikisha hata marehemu.
johnthebaptist said: Utasikia CCM wameandikisha Wanafunzi ๐๐ Click to expand... Kwani uongo?Wameandikisha hata marehemu.
Superbug JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 13,864 Reaction score 35,079 Oct 29, 2024 #43 Mbeya watu wanajielewa sana.
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Oct 29, 2024 #44 Kalamu said: Hapa unakuwa "mbaguzi" waziwazi. "Mwana na Roho Mtakatifu" wote ni Umoja. Click to expand... Mwana na Roho Mtakatifu wako Ndani ya Mungu Baba ๐น
Kalamu said: Hapa unakuwa "mbaguzi" waziwazi. "Mwana na Roho Mtakatifu" wote ni Umoja. Click to expand... Mwana na Roho Mtakatifu wako Ndani ya Mungu Baba ๐น
Manjagata JF-Expert Member Joined Mar 7, 2012 Posts 13,942 Reaction score 15,371 Oct 29, 2024 #45 Tlaatlaah said: ni vichekesho vya ajabu sana aise Click to expand... Kwani wapiga kura wana tags za CCM?
Tlaatlaah said: ni vichekesho vya ajabu sana aise Click to expand... Kwani wapiga kura wana tags za CCM?
Samvurah JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 532 Reaction score 515 Oct 29, 2024 #46 naliwe said: tatizo la chadema ni kuwa na wanachama kama wewe, chadema wameshindwa kuweka wagombea nchi nzima, unalijua ilo? Click to expand... Wewe umalaya wako wa kisiasa umezidi karibu unapewa Mimba.Fomu ndo kwanza zimeanza kutolewa wewe umetoa wapi taarifa za CHADEMA nchi nzima .ACHA UCHAWA UJITEGEMEE ,ACHA KUTEGEMEA WANAUME UISHI .
naliwe said: tatizo la chadema ni kuwa na wanachama kama wewe, chadema wameshindwa kuweka wagombea nchi nzima, unalijua ilo? Click to expand... Wewe umalaya wako wa kisiasa umezidi karibu unapewa Mimba.Fomu ndo kwanza zimeanza kutolewa wewe umetoa wapi taarifa za CHADEMA nchi nzima .ACHA UCHAWA UJITEGEMEE ,ACHA KUTEGEMEA WANAUME UISHI .
K Kalamu Platinum Member Joined Nov 26, 2006 Posts 12,096 Reaction score 15,393 Oct 29, 2024 #47 johnthebaptist said: Mwana na Roho Mtakatifu wako Ndani ya Mungu Baba ๐น Click to expand... Kwa hiyo hata wao ni Mungu Baba!
johnthebaptist said: Mwana na Roho Mtakatifu wako Ndani ya Mungu Baba ๐น Click to expand... Kwa hiyo hata wao ni Mungu Baba!
K koryo1952 JF-Expert Member Joined Mar 7, 2023 Posts 948 Reaction score 1,627 Oct 29, 2024 #48 Safari hii mambo yatakuwa magumu sana kwa Vyama vyote
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 38,657 Reaction score 44,759 Oct 29, 2024 #49 bagamoyo said: Wananchi wakimsindikiza kamanda wa CHADEMA Click to expand... Ili asitekwe