Kwa hoja hii ndiyo nimeelewa kuwa huijui Rungwe na huwajui watu wa eneo hili. Kwenye suala la elimu nchi hii Kuna makabila 3 tu ambayo yaliichangamkia mapema:-wahaya, wachaga na wanyakyusa (wenyeji wa Rungwe). Maeneo mengine wazazi wameanza kusomesha watoto baada ya serikali kujenga shule za kata.Rungwe jitahidini msomeshe watoto wenu shule acheni mila za kuona kusoma ni usumbufu kwa watoto wenu
Nimefika lakini bado Rungwe ni masikini sana ndugu yangu.Kwa hoja hii ndiyo no umeelewa kuwa huijui Rungwe na huwajui watu wa eneo hili. Kwenye suala la elimu nchi hii Kuna kakabila 3 tu ambayo yaliichangamkia mapema:-wahaya, wachaga na wanyakyusa (wenyeji wa Rungwe). Maeneo mengine wazazi wameanza kusomesha watoto baada ya serikali kujenga shule za kata.
Hivi mtoa mada umewahi kufika maeneo ya mikoa ya kusini? Lindi na Mtwara.
Someni acheni uvivu wa kusoma, hakuna wasomi kuleUnasema Rungwe wakasome? Sasa huko Sikonge au Magu utawambia nn?
Wanyakyusa siyo wasomi kama unavyotaka kudanganya hapaKwa hoja hii ndiyo no umeelewa kuwa huijui Rungwe na huwajui watu wa eneo hili. Kwenye suala la elimu nchi hii Kuna kakabila 3 tu ambayo yaliichangamkia mapema:-wahaya, wachaga na wanyakyusa (wenyeji wa Rungwe). Maeneo mengine wazazi wameanza kusomesha watoto baada ya serikali kujenga shule za kata.
Hivi mtoa mada umewahi kufika maeneo ya mikoa ya kusini? Lindi na Mtwara.
Umeme uko wapi ndugu yangu, Rungwe iko nyuma kimaendeleo sana tu na miundombinu mibovu na wala serikali haina habari na huko[emoji23][emoji23][emoji23]toka jamiiforum ianze sijawahi ona mtu mjinga na muongo kama wewe!
Rungwe ni masikini? Kivipi? Kulinganisha na wapi?
Rungwe ilikuwa na umeme karibu asilimia 70 ya vijiji vyao vyote before ujio wa rea
Umewahi fika kongwa, Lindi, buhigwe,tanganyika,?
Kweli mimi ni mjinga sawa nimekuwa victim kama wananchi wa Rungwe. Someni shule[emoji23][emoji23][emoji23]toka jamiiforum ianze sijawahi ona mtu mjinga na muongo kama wewe!
Rungwe ni masikini? Kivipi? Kulinganisha na wapi?
Rungwe ilikuwa na umeme karibu asilimia 70 ya vijiji vyao vyote before ujio wa rea
Umewahi fika kongwa, Lindi, buhigwe,tanganyika,?
Yaani sio kweli , tuseme tu labda wabadilishe chama lkn sio kusema rungwe ni masikini...bahati nzr nimezunguka sana nchi hii ktk zoezi la Chadema ni msingi nimekutana na wilaya masikini ile mbaya lkn sio rungwe useme masikini...huo ni uongo na ni upuuziNakubaliana na mleta mada, niliwahi tembelea Rungwe siku za nyuma, Kuna umasikini wa kutupwa na wengi ni wajinga...
Ni maeneo gani uliyotembelea na kutafiti kwamba rungwe ni masikini Sana.?Kweli mimi ni mjinga sawa nimekuwa victim kama wananchi wa Rungwe. Someni shule
Kulinganisha na wapi?Someni acheni uvivu wa kusoma, hakuna wasomi kule