Rungwe: Moja ya Wilaya zilizosahaulika na masikini zaidi Tanzania

Nadhani mtoa mada uko sahihi lakini your choice of words haiko sahihi.

Shida kubwa ya Rungwe from my perspective ni iko stagnant (grow rate yake ni zero or negative kabisa). Mtu alieendaa mwaka 2010 then akaja kwenda 2020 anaeza asipotee cz miji yake haikuii kabisa.

Mfano miji kama kiwira, tukuyu, katumbi, mwakaleli, luangwa, lufilyo etc iko vile vile miaka nenda rudi ila sio kwamba ni masikini.
Hii ni tofauti na sehemu nyingine mfano masasi au nachingwea, kama ulienda 2010 ukienda 2020 kuna some major changes utaziona.

Shida kubwa ya rungwe ni kukosekana kwa kilimo cha kibiashara kinachoweza mtoa mtu kimaisha mfano korosho, mpunga, vitunguu au miti ya mbao. Sasa Rungwe watu wamekazana kulima mahindi, maharage na mostly ndizi. Haya ni mazao yatakayokuwezesha kupeleka mtoto shule lakini hayaezi kukupa hela ya kuezekea mabati ya mgongo mpana au kujenga nyumba kubwa ya tofali za cement au kununua tractor au magari.
 
Sidhani kama wewe ni mtu wa Rungwe kweli kwa sababu watu wa kule wana heshimu wenzao. Unasifia Katumba Tea Factory ya mwaka 49! Kiwanda kingine cha Wakulima Tea Company kilichopo Mwakaleli kimefungwa kutokana na watu huko kutozalisha chai ya kutosha. Katumba, hicho cha kihistoria, kiko ICU kwa sababu ingawa kina uwezo wa ku process tani 150 za majani ya chai kina process tani 28. Na chenyewe watakifunga hivi karibuni. Watakuacha wewe na umaskini wako na matusi.

Amandla...
We ni mpuuzi tu wa kupuzwa.its dazzling and naive coment..You lack social intelligency analysis.Hv rungwe unaifananisha na wilaya zipi unazozijua.The problem with you is that you just let your consciousness declare sense of emotional reasoning
 
Mkuu matusi sio mazuri ase.. hili tusi baya Sana unamkosea heshima mzazi wa mtoa mada.
Mleta mada anaweza akawa na hoja but she is too emotional.Eti masikini wa kutupwa hiv kweli huyu kiaz ametembe hii nchi au ameibuka kutoka dar
 
Nilibahataika kutembelea maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Rungwe Mkoni Mbeya baada ya kusikia ni sehemu iliyo na hali ya hewa nzuri na mazingira yavutiyao sana, lakini nilichokuja kuona ni umasikini mkubwa na wilaya ambayo imesahaulika kabisa na serikali, hakuna miradi yoyote ya maendeleo, watu choka mbaya sana wako kwenye lindi la umasikini.

Bahati mbaya sana wilaya hii haina watu wenye weredi wa kuwatetea hata kuwasemea ili kusaidia kuleta maendeleo na hata Mbunge wao yuko busy na bisahara zake, siwezi shangaa kwanini walimchagua kwa hali ilivyo ya wilaya ni rahisi sana kuweka mtu asiye na hata influence yeyote ya hata kuwasemea li walau serikali iwaangalie kwa jichola huruma.

Kuna haja sana ya serikali kuangalia uwezekano kuzisadia sehemu ambazo ziko nyuma sana na zimesahaulika hasa maeneno ya mikoa hii ya kusini ambayo iko pembezoni mwa Nchi.

Miundombinu ya barabara imechakaa sana na kizamani sana, wenyeji wanamkumbuka Mwalimu ndiyo angalau awamu yake aliwakumbuka, bahati nyingine mbaya sana wilaya hii hata mtu akisoma kidogo basi harudi tena kwao na wala hawana destrui hata yakusaidiana, kabila lao wengi ni wabinafsi na wenye kupendenda kutukuzwa na hawapendi wenzao wainuke kabisa tofauti wenzao maeneneo mengine ambao husaidiana na kuinuana sana.

Kwa watu wa mikoa mingine kama manataka ardhi nzuri ya kilimo bwerere nendeni wilaya ya rungwe maana wenyeji wamelala usingizi wa pono hawajui duniani kunaendaje, mimi naanza kununua ndizi na kupeleka Dar kwafaida kubwa maana mkungu wa ndizi mpaka buku tano.

Mwisho Rungwe jitahidini msomeshe watoto wenu shule acheni mila za kuona kusoma ni usumbufu kwa watoto wenu na serikali iitazame wilaya hiyo kwa jicho la huruma keki ya taifa ifike kule pia maana ni sehemu ya Tanzania.
Acha uwongo best. Nipo zangu hapa Landmark Hotel Rungwe nakula Raha. Nimetembea kona nyingi hapa mambo ni poowa kabisa.
Ukikatiza kitaa migomba kibao na nyumba nzuri nzuri na nyingi utaona kuna mkoko. Huu mji kwa kweli ni mziri sana ukilinganisha ni miji mingi niliyopata kupita kwenye mishe zangu.
Acha majungu ndugu yangu. Hayasaidii.
 
We ni mpuuzi tu wa kupuzwa.its dazzling and naive coment..You lack social intelligency analysis.Hv rungwe unaifananisha na wilaya zipi unazozijua.The problem with you is that you just let your consciousness declare sense of emotional reasoning

Unajua ukiwa mjinga basi bora ukae mbali na lugha za wenyewe maana utaumbuka. "Dazzling and naive coment" ndio nini? "Social intelligency analysis" ndio nini? How can my "consciousness declare sence of emotional reasoning?" Inawezekana umeenda shule lakini ni dhahiri kuwa haujaelimika. Na kama nilivyosema awali, wewe sio mtu wa Rungwe maana hawana ujinga unaouonyesha hapa na kitabia ka kudhani kumtukana mtu ukiwa umejificha nyuma ya keyboard ndio "uanamume"!

Nimemaliza na nitashukuru kama utanipuuza ili usiendelee kuonyesha ujuha wako.

Amandla...
 
[emoji23][emoji23][emoji23]toka jamiiforum ianze sijawahi ona mtu mjinga na muongo kama wewe!

Rungwe ni masikini? Kivipi? Kulinganisha na wapi?

Rungwe ilikuwa na umeme karibu asilimia 70 ya vijiji vyao vyote before ujio wa rea

Umewahi fika kongwa, Lindi, buhigwe,tanganyika,?
Wewe KUBWA J.I.NGA ondoa LINDI! inahusikaje hapo ? Nikikuita BOYA utachukia??🤨🤨
 
Sawa nimekusikia. Mimi kama mbunge mtarajiwa ntalishughurikia hili. Uje tena 2025 utaona mabadiliko.
 
Nilibahataika kutembelea maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Rungwe Mkoni Mbeya baada ya kusikia ni sehemu iliyo na hali ya hewa nzuri na mazingira yavutiyao sana, lakini nilichokuja kuona ni umasikini mkubwa na wilaya ambayo imesahaulika kabisa na serikali, hakuna miradi yoyote ya maendeleo, watu choka mbaya sana wako kwenye lindi la umasikini.

Bahati mbaya sana wilaya hii haina watu wenye weredi wa kuwatetea hata kuwasemea ili kusaidia kuleta maendeleo na hata Mbunge wao yuko busy na bisahara zake, siwezi shangaa kwanini walimchagua kwa hali ilivyo ya wilaya ni rahisi sana kuweka mtu asiye na hata influence yeyote ya hata kuwasemea li walau serikali iwaangalie kwa jichola huruma.

Kuna haja sana ya serikali kuangalia uwezekano kuzisadia sehemu ambazo ziko nyuma sana na zimesahaulika hasa maeneno ya mikoa hii ya kusini ambayo iko pembezoni mwa Nchi.

Miundombinu ya barabara imechakaa sana na kizamani sana, wenyeji wanamkumbuka Mwalimu ndiyo angalau awamu yake aliwakumbuka, bahati nyingine mbaya sana wilaya hii hata mtu akisoma kidogo basi harudi tena kwao na wala hawana destrui hata yakusaidiana, kabila lao wengi ni wabinafsi na wenye kupendenda kutukuzwa na hawapendi wenzao wainuke kabisa tofauti wenzao maeneneo mengine ambao husaidiana na kuinuana sana.

Kwa watu wa mikoa mingine kama manataka ardhi nzuri ya kilimo bwerere nendeni wilaya ya rungwe maana wenyeji wamelala usingizi wa pono hawajui duniani kunaendaje, mimi naanza kununua ndizi na kupeleka Dar kwafaida kubwa maana mkungu wa ndizi mpaka buku tano.

Mwisho Rungwe jitahidini msomeshe watoto wenu shule acheni mila za kuona kusoma ni usumbufu kwa watoto wenu na serikali iitazame wilaya hiyo kwa jicho la huruma keki ya taifa ifike kule pia maana ni sehemu ya Tanzania.
Hii ndio Rungwe
IMG_20200723_180101.jpg
IMG_20200723_180101.jpg
 
Nimeingia kitaa na kuna na picha hizi.
 
Attachments

  • IMG_20200723_174014.jpg
    IMG_20200723_174014.jpg
    238.3 KB · Views: 14
Rungwe inahitaji mbunge wa upinzani mbunifu wa kuwasemea bungeni maana wote waliopita na aloyepo ni mabubu hasa huyu Sauli yeye yuko bize na biashara na rushwa ndio inampitisha kwa sababu ya njaa......

Kwa taarifa tu mbunge aliyepo alikua ameshindwa km ilivyokua kwa mwakyembe lkn figisu za ccm zikawaokoa....... Yaani wanarungwe na wanakyela wanvekomaa km walivofanya vwawa, mbeya mjini Tunduma na momba hayo majimbo mawili yangekua chadema.

Hata sasa ccm haitakiwi kabisa rungwe
Mpinzani wa kudumisha Mfuko wa Aikael
 
Unajua ukiwa mjinga basi bora ukae mbali na lugha za wenyewe maana utaumbuka. "Dazzling and naive coment" ndio nini? "Social intelligency analysis" ndio nini? How can my "consciousness declare sence of emotional reasoning?" Inawezekana umeenda shule lakini ni dhahiri kuwa haujaelimika. Na kama nilivyosema awali, wewe sio mtu wa Rungwe maana hawana ujinga unaouonyesha hapa na kitabia ka kudhani kumtukana mtu ukiwa umejificha nyuma ya keyboard ndio "uanamume"!

Nimemaliza na nitashukuru kama utanipuuza ili usiendelee kuonyesha ujuha wako.

Amandla...
Huwez kuelewa kwa sbb ni mpuuzi hauko objective uko too emotional.Unazijua wilaya masikini we bwege sijui jitu la wapi how did you make your ruin conclusion.....?You are such a foolish fool
 
How can one make a "ruin conclusion?". And what is a " foolish fool?" Wakati wetu mtu mwenye umri wa miaka 35 alikuwa anahesabiwa mtu mzima lakini wewe bila shaka bado unanyonya vidole na unaishi kwa wazazi wako.

Mwalimu aliwahi kusema kuwa haujipimi afya yako na mgonjwa bali mtu mzima. Unabakia kung'ang'ania na kuona sifa kuwa kuna wilaya maskini zaidi yenu badala ya kujiuliza kwa nini wilaya yenu sio wilaya tajiri nchini! Mwisho wa siku mtajikuta wote wamewaacha wakati nyie bado mnajisifia kiwanda kilichoachwa na mkoloni na ambacho kimeacha kuzalisha!

Hahsha...This is purely childish character.We kijana hakuna unalolielewa......foolish fool
 
Kwa hoja hii ndiyo no umeelewa kuwa huijui Rungwe na huwajui watu wa eneo hili. Kwenye suala la elimu nchi hii Kuna kakabila 3 tu ambayo yaliichangamkia mapema:-wahaya, wachaga na wanyakyusa (wenyeji wa Rungwe). Maeneo mengine wazazi wameanza kusomesha watoto baada ya serikali kujenga shule za kata.

Hivi mtoa mada umewahi kufika maeneo ya mikoa ya kusini? Lindi na Mtwara.
Orodha yako ongeza Wakerewe.
 
Nadhani mtoa mada uko sahihi lakini your choice of words haiko sahihi.

Shida kubwa ya Rungwe from my perspective ni iko stagnant (grow rate yake ni zero or negative kabisa). Mtu alieendaa mwaka 2010 then akaja kwenda 2020 anaeza asipotee cz miji yake haikuii kabisa.

Mfano miji kama kiwira, tukuyu, katumbi, mwakaleli, luangwa, lufilyo etc iko vile vile miaka nenda rudi ila sio kwamba ni masikini.
Hii ni tofauti na sehemu nyingine mfano masasi au nachingwea, kama ulienda 2010 ukienda 2020 kuna some major changes utaziona.

Shida kubwa ya rungwe ni kukosekana kwa kilimo cha kibiashara kinachoweza mtoa mtu kimaisha mfano korosho, mpunga, vitunguu au miti ya mbao. Sasa Rungwe watu wamekazana kulima mahindi, maharage na mostly ndizi. Haya ni mazao yatakayokuwezesha kupeleka mtoto shule lakini hayaezi kukupa hela ya kuezekea mabati ya mgongo mpana au kujenga nyumba kubwa ya tofali za cement au kununua tractor au magari.

nakubaliana na mtoa mada ingawa RUNGWE ndo nyumbani!
 
Kama rungwe ni wilaya masikini sana na wakazi wake masikini sana na hawana elimu . Kati ya wilaya zaidi ya 120 Tanzania. Nitajie wilaya 5 tu zilizoishinda rungwe
 
Back
Top Bottom