Rungwe: Moja ya Wilaya zilizosahaulika na masikini zaidi Tanzania

Mimi wachagga nawalinganisha kama South Africans na jinsi wanavyoiona Africa na waafrica wengine.Kama mchagga hajatembea sana akifika wilaya moja nje ya kwao anashangaa na kuona kuwa kuna umaskini mwingi. Kwa kuwa tu analingansha na Kwao!! Mama ila yetu mengi hata yake yenye utajiri wa mali nyumba hawajui kama ni kitu muhimu. Lakini mchagga labda awe maskini sana na hana mtoto mwenye uwezo ndipo atashindwa kujenga
Wachaga wanawaonea nyie huko ila kwa Wahaya waligonga mwamba
 
Kama hautajali.... Rungwe ni maskini ukilinganisha na wapi mkuu? Mbona kupo poa tu Chakula cha kutosha, maji yapo na huduma zingine zipo?
Mleta maada nahisi hajuai kutofautisha umaskini ni upi

Kwa maeneo niliyo tembea mimi binafs kanda ya pwan ndio yenye watu maskini ikifutiwa na kanda ya kati ikiongwazwa na mkoa wa dodoma

Huko rungwe kupo vizuri labda angesema miundo mbinu sio rafiki ningemwelewa
 
[emoji23][emoji23][emoji23]toka jamiiforum ianze sijawahi ona mtu mjinga na muongo kama wewe!

Rungwe ni masikini? Kivipi? Kulinganisha na wapi?

Rungwe ilikuwa na umeme karibu asilimia 70 ya vijiji vyao vyote before ujio wa rea

Umewahi fika kongwa, Lindi, buhigwe,tanganyika,?
Huyu ndio ametoka kwa shemeji yake ameanza kutembea nje ya mkoa wake
 
Nilibahataika kutembelea maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Rungwe Mkoni Mbeya baada ya kusikia ni sehemu iliyo na hali ya hewa nzuri na mazingira yavutiyao sana, lakini nilichokuja kuona ni umasikini mkubwa na wilaya ambayo imesahaulika kabisa na serikali, hakuna miradi yoyote ya maendeleo, watu choka mbaya sana wako kwenye lindi la umasikini.

Bahati mbaya sana wilaya hii haina watu wenye weredi wa kuwatetea hata kuwasemea ili kusaidia kuleta maendeleo na hata Mbunge wao yuko busy na bisahara zake, siwezi shangaa kwanini walimchagua kwa hali ilivyo ya wilaya ni rahisi sana kuweka mtu asiye na hata influence yeyote ya hata kuwasemea li walau serikali iwaangalie kwa jichola huruma.

Kuna haja sana ya serikali kuangalia uwezekano kuzisadia sehemu ambazo ziko nyuma sana na zimesahaulika hasa maeneno ya mikoa hii ya kusini ambayo iko pembezoni mwa Nchi.

Miundombinu ya barabara imechakaa sana na kizamani sana, wenyeji wanamkumbuka Mwalimu ndiyo angalau awamu yake aliwakumbuka, bahati nyingine mbaya sana wilaya hii hata mtu akisoma kidogo basi harudi tena kwao na wala hawana destrui hata yakusaidiana, kabila lao wengi ni wabinafsi na wenye kupendenda kutukuzwa na hawapendi wenzao wainuke kabisa tofauti wenzao maeneneo mengine ambao husaidiana na kuinuana sana.

Kwa watu wa mikoa mingine kama manataka ardhi nzuri ya kilimo bwerere nendeni wilaya ya rungwe maana wenyeji wamelala usingizi wa pono hawajui duniani kunaendaje, mimi naanza kununua ndizi na kupeleka Dar kwafaida kubwa maana mkungu wa ndizi mpaka buku tano.

Mwisho Rungwe jitahidini msomeshe watoto wenu shule acheni mila za kuona kusoma ni usumbufu kwa watoto wenu na serikali iitazame wilaya hiyo kwa jicho la huruma keki ya taifa ifike kule pia maana ni sehemu ya Tanzania.
Rungwe hiyo ina wasomi wengi Sana wa kinyakyusa kiasi kwamba inabidi waiokoe hiyo wilaya . Msilaumu Sana mna opportunity ya Wasomi wengi Tanzania
 
Mtoa mada umefika Rungwe ukitokea wapi? na umepitia ruti gani kufika Rungwe?. ina maana kote huko ulikopita wameizidi Rungwe?. ukifikia hatua ya kuanzisha mada kuwa Rungwe ni masikini basi wewe huijui vizuri nchi yetu.

Isije kuwa tunakulaumu bure wakati mwenzetu umetoka New York
Mimi kwetu Marangu
 
Kama rungwe ni wilaya masikini sana na wakazi wake masikini sana na hawana elimu . Kati ya wilaya zaidi ya 120 Tanzania. Nitajie wilaya 5 tu zilizoishinda rungwe
Hai,Rombo,Muleba,siha na karagwe
 
kuhusu miundombinu nakubalianawe 100%. Kuhusu elimu umeongea upumbavu. Kuhusu umaskini pia sikubaliani nawewe
Elimu gani? Hakuna wasomi, wanyakyusa ilikua zamani tena wachache tu sasa hivi hakuna kitu hata Iringa wamewapita sana
 
Kwa hoja hii ndiyo nimeelewa kuwa huijui Rungwe na huwajui watu wa eneo hili. Kwenye suala la elimu nchi hii Kuna makabila 3 tu ambayo yaliichangamkia mapema:-wahaya, wachaga na wanyakyusa (wenyeji wa Rungwe). Maeneo mengine wazazi wameanza kusomesha watoto baada ya serikali kujenga shule za kata.

Hivi mtoa mada umewahi kufika maeneo ya mikoa ya kusini? Lindi na Mtwara.
Wee mpumbavu nn ntwara kumefanyaje? Ntwara gani hii ya gesi ambayo tuna nunua cement 12000 acha kulinganisha vitu va kijinga na ntwara
 
Bahati mbaya sana wilaya hii haina watu wenye weredi wa kuwatetea hata kuwasemea ili kusaidia kuleta maendeleo na hata Mbunge wao yuko busy na bisahara zake, siwezi shangaa kwanini walimchagua kwa hali ilivyo ya wilaya ni rahisi sana kuweka mtu asiye na hata influence yeyote ya hata kuwasemea li walau serikali iwaangalie kwa jichola huruma.

Hii wilaya ndiko wanakotoka Prof. Mwandosya na Tulia Ackson. Kwa hiyo hawa watu hawana weredi wa kuisaidia leo au huko nyuma? Labda ndio maana Tulia kagombea Ubunge Mbeya badla ya kwao Rungwe, akijua hajawa na msaada wowote kwao wangempiga chini.

Nakumbuka mbunge wao Amon aliulizwa shida ya wananchi katika wilaya yake akasema ugumu wa biashara ya vipodozi - na bado ameshinda kura za maoni!
 
Mtwara hovyo Sana huko. Mnapakwa mafuta kwa mgongo wa chupa kwamba ni kumeendelea lkn ukweli pamechoka Sana. Mkoani ni sawa na tarafa ya Ijigha tu. Hovyo kabisa huko, kuoeni panya tu.

Huko hakuna mtumishi wa umma anataka kuishi. Wanapelekwa kwa taabu na mikwara juu.

Gesi ya mchina ile wewe.
 
Kwa hoja hii ndiyo nimeelewa kuwa huijui Rungwe na huwajui watu wa eneo hili. Kwenye suala la elimu nchi hii Kuna makabila 3 tu ambayo yaliichangamkia mapema:-wahaya, wachaga na wanyakyusa (wenyeji wa Rungwe). Maeneo mengine wazazi wameanza kusomesha watoto baada ya serikali kujenga shule za kata.

Hivi mtoa mada umewahi kufika maeneo ya mikoa ya kusini? Lindi na Mtwara.
Mtoa mada aende wilaya ya Liwale-lindi atakuja kukanusha huu uandishi wake.

Nimewahi kufanya kazi lindi-liwale kwa miaka sita,kule unaambiwa ukipangwa sehemu yenye mtandao tambua kwamba umepangwa kituo cha kazi kilicho mjini..

Mawasiliano ya simu kwa maeneo mengi liwale ni anasa,sijaongelea barabara mbovu ambapo wakati wa masika eneo la km 50 unatumia Masaa sita kulivuka.

Chakula kule ni shida,watoto wengi wa vijijini hawamjui ngombe anafananaje

Umewahi kuona Kata mzima yenye vijiji vitano kuwa na ngombe mmoja au hakuna kabisa?
 
Hii wilaya ndiko wanakotoka Prof. Mwandosya na Tulia Ackson. Kwa hiyo hawa watu hawana weredi wa kuisaidia leo au huko nyuma? Labda ndio maana Tulia kagombea Ubunge Mbeya badla ya kwao Rungwe, akijua hajawa na msaada wowote kwao wangempiga chini.

Nakumbuka mbunge wao Amon aliulizwa shida ya wananchi katika wilaya yake akasema ugumu wa biashara ya vipodozi - na bado ameshinda kura za maoni!
hhahahahahahahah
 
Nilibahataika kutembelea maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Rungwe Mkoni Mbeya baada ya kusikia ni sehemu iliyo na hali ya hewa nzuri na mazingira yavutiyao sana, lakini nilichokuja kuona ni umasikini mkubwa na wilaya ambayo imesahaulika kabisa na serikali, hakuna miradi yoyote ya maendeleo, watu choka mbaya sana wako kwenye lindi la umasikini.

Bahati mbaya sana wilaya hii haina watu wenye weredi wa kuwatetea hata kuwasemea ili kusaidia kuleta maendeleo na hata Mbunge wao yuko busy na bisahara zake, siwezi shangaa kwanini walimchagua kwa hali ilivyo ya wilaya ni rahisi sana kuweka mtu asiye na hata influence yeyote ya hata kuwasemea li walau serikali iwaangalie kwa jichola huruma.

Kuna haja sana ya serikali kuangalia uwezekano kuzisadia sehemu ambazo ziko nyuma sana na zimesahaulika hasa maeneno ya mikoa hii ya kusini ambayo iko pembezoni mwa Nchi.

Miundombinu ya barabara imechakaa sana na kizamani sana, wenyeji wanamkumbuka Mwalimu ndiyo angalau awamu yake aliwakumbuka, bahati nyingine mbaya sana wilaya hii hata mtu akisoma kidogo basi harudi tena kwao na wala hawana destrui hata yakusaidiana, kabila lao wengi ni wabinafsi na wenye kupendenda kutukuzwa na hawapendi wenzao wainuke kabisa tofauti wenzao maeneneo mengine ambao husaidiana na kuinuana sana.

Kwa watu wa mikoa mingine kama manataka ardhi nzuri ya kilimo bwerere nendeni wilaya ya rungwe maana wenyeji wamelala usingizi wa pono hawajui duniani kunaendaje, mimi naanza kununua ndizi na kupeleka Dar kwafaida kubwa maana mkungu wa ndizi mpaka buku tano.

Mwisho Rungwe jitahidini msomeshe watoto wenu shule acheni mila za kuona kusoma ni usumbufu kwa watoto wenu na serikali iitazame wilaya hiyo kwa jicho la huruma keki ya taifa ifike kule pia maana ni sehemu ya Tanzania.
wakome!
si wanaona kuichagua CCM yetu ni deal?
wataula wa chuya!
 
[emoji23][emoji23][emoji23]toka jamiiforum ianze sijawahi ona mtu mjinga na muongo kama wewe!

Rungwe ni masikini? Kivipi? Kulinganisha na wapi?

Rungwe ilikuwa na umeme karibu asilimia 70 ya vijiji vyao vyote before ujio wa rea

Umewahi fika kongwa, Lindi, buhigwe,tanganyika,?
Aisee Linda nilifika miaka ya nyuma, nilishukia Airport ya mtwara tukaendesha mpaka Lindi wako nyuma sana labda kama imebadilika kwa sasa.
 
Una point ya msingi ila umeshindwa kuiwasilisha.Sema wabunge wengi ni vichwa maji tangia Yule ........mpaka huyu wa sasa.ni kama mwakyembe tuu
 
Back
Top Bottom