Rungwe: Moja ya Wilaya zilizosahaulika na masikini zaidi Tanzania

Hakuna kitu kama hicho mkuu
Punguza porojo
Ukiwa na chakula na maji ya kutosha unakuwa umesolve zaid ya 50 percent ya matatizo ya kibinadamu,
Rungwe sio maskini kihivyo
 
Sasa huyo demu wako wa Rungwe kukuacha kwa sababu ya unasskini wako ndio umekuja kulilia huku,, we nawe😄
 
Kwa maslahi ya Taifa,hakuna gesi ya mchina Tanzania hii...
 
Isije ikawa ana changanya Rungwe na Ruangwa au neno jingine lifananalo!
 
Daaaaa yaan Kuna watu itabid wapimwe ata akili zao kwel Rungwe ndo wilaya yakuambiwa wasomeshe watoto zako ktk taifa hili ambalo huwez kuwatowa wanyakyusa katika jamii za wasomi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…