Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Kumbe,wanatafuta kiki,okWameona chama hakisikiki wamebuni njia hii ili kitajwe tajwe.
upumbast wa hao watuUjinga ujingest
Ukisikiliza io sauti unajua ni uchwara tuuh hapo!?Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Hashimu Rungwe Spunda, ametangaza maamuzi ya Halmashauri Kuu ya chama hicho iliyoketi Juni 30, 2026, jijini Dar es Salaam. Katika kikao hicho kilichoongozwa chini ya misingi ya katiba ya chama, Halmashauri Kuu imechukua hatua ya kumtengua rasmi Katibu Mkuu wa chama, Salum Mwalimu Juma, kuanzia tarehe hiyo ya kikao.
Soma: Salum Mwalimu ajiuzulu kwa muda CHAUMMA kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazomkabili
Maamuzi hayo yamekuja baada ya kutathmini mwenendo mzima wa uongozi ndani ya chama huku Halmashauri Kuu ya Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) ikimemteua Benson Kigaila kuwa Kaimu Katibu Mkuu wa chama hicho.
Usaliti ni laanaMwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Hashimu Rungwe Spunda, ametangaza maamuzi ya Halmashauri Kuu ya chama hicho iliyoketi Juni 30, 2026, jijini Dar es Salaam. Katika kikao hicho kilichoongozwa chini ya misingi ya katiba ya chama, Halmashauri Kuu imechukua hatua ya kumtengua rasmi Katibu Mkuu wa chama, Salum Mwalimu Juma, kuanzia tarehe hiyo ya kikao.
Soma: Salum Mwalimu ajiuzulu kwa muda CHAUMMA kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazomkabili
Maamuzi hayo yamekuja baada ya kutathmini mwenendo mzima wa uongozi ndani ya chama huku Halmashauri Kuu ya Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) ikimemteua Benson Kigaila kuwa Kaimu Katibu Mkuu wa chama hicho.
Hili zee tapeli kama matapeli wenzake wa kimanyema senzi kabisaMwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Hashimu Rungwe Spunda, ametangaza maamuzi ya Halmashauri Kuu ya chama hicho iliyoketi Juni 30, 2026, jijini Dar es Salaam. Katika kikao hicho kilichoongozwa chini ya misingi ya katiba ya chama, Halmashauri Kuu imechukua hatua ya kumtengua rasmi Katibu Mkuu wa chama, Salum Mwalimu Juma, kuanzia tarehe hiyo ya kikao.
Soma: Salum Mwalimu ajiuzulu kwa muda CHAUMMA kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazomkabili
Maamuzi hayo yamekuja baada ya kutathmini mwenendo mzima wa uongozi ndani ya chama huku Halmashauri Kuu ya Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) ikimemteua Benson Kigaila kuwa Kaimu Katibu Mkuu wa chama hicho.
Chama kimepoa sana, mpaka kifike katika spidi za kitaifa lazima mikakati mipya na makini itumike.Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Hashimu Rungwe Spunda, ametangaza maamuzi ya Halmashauri Kuu ya chama hicho iliyoketi Juni 30, 2026, jijini Dar es Salaam. Katika kikao hicho kilichoongozwa chini ya misingi ya katiba ya chama, Halmashauri Kuu imechukua hatua ya kumtengua rasmi Katibu Mkuu wa chama, Salum Mwalimu Juma, kuanzia tarehe hiyo ya kikao.