Rungwe: Mwalimu alikuwa anaingilia majukumu ya mwenyekiti, Halmashauri kuu imemtengua

Bila shaka watakuwa wamepata baraka za msajili kabla ya maamuzi yao nje ya hapo atarudishwa na Sisty kama kawaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwa mafungano waliyo nayo ni ndoto za mchana kufikia hayo unayowatabiria
Katibu waliyemtoa alikuwa hajui hela ya chama inatoka wapi maana hakiulizwa alikuwa anawajibu hajui ila wai waendelee kutumia😁😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…