Rungwe ‘Mzee wa Ubwabwa’ alazwa KCMC

Safari imewadia huyo, shetani CCM hana rafiki.
 
Huyo wanamrestisha ila DJ akamiliki chama
 
Mungu anakupa alert Mzee Rungwe
usiwe sehemu ya maigizo ya siasa
ridhika na ulichonacho
binadamu akikupa neema kesho atachoka kukupa
 
Angeachwa akapumzika sasa.. Hata kama ni kutumikia mshahara ifike mahali tuwe na huruma... Kama chopa trip mbili tatu tu imetepeta vipi mzee wa makamu take?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…