Hao matapeli watakuwa wanataka kumwondoa wale hongo walizopea na ccm pekeayaoMzee hekaheka haziwezi awaachie vijana hicho chama, yeye apumzike.
Pesa ya bi chura itatoa uhai, tamaa mbele mauti nyumaView attachment 3371426
DAR. Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Hashim Rungwe maarufu Mzee wa Ubwabwa amelazwa katika Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Kilimanjaro (KCMC) kutokana na uchovu wa kazi nyingi.
Kwa mujibu wa Ofisa Uhusiano wa hospitali hiyo, Gabriel Chisseo, Rungwe alifikishwa hospitalini hapo tangu juzi Juni 14 baada ya kuzidiwa na ucovu.
“Ni kweli tuko naye hapa tangu juzi tumempumzisha. Ni kwa sababu ya uchovu wa shughuli zake, hivyo tumempumzisha kwenye wodi za watu maarufu,” amesema leo Juni 16.
Awali, Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Taarifa kwa Umma wa CHAUMMA, John Mrema alipoulizwa hali ya afya ya Rungwe alikiri kweli anaumwa, ila akasema hilo ni suala la kifamilia.
“Alikuwa anaumwa akampumzishwa tu, lakini ameshatolewa. Taarifa kamili itatolewa na familia,” alisema awali.
Hata hivyo, baadaye, Mrema alisema Mzee wa Ubwabwa amerejeshwa hospitalini hapo, baada ya hali yake kubadilika.
“Amerudishwa ‘hospitali, ila KCMC ndio watatoa taarifa rasmi.”
Takribani wiki mbili sasa, CHAUMMA wamekuwa kwenye mikutano ya Operesheni C4C wakizunguka mikoani wakiongozwa na Mzee wa Ubwabwa.
Hapo G55 wanabadilisha Gia angani, anakuta na taarifa kwa kuwa mzee afya sio nzuri, basi inabidi a hie ngazi na hivyo wachague Mwenyekiti mpya! Alafu Mwamba anajongea taratibuuuu! 😁😁Angeachwa akapumzika sasa.. Hata kama ni kutumikia mshahara ifike mahali tuwe na huruma... Kama chopa trip mbili tatu tu imetepeta vipi mzee wa makamu take?
www.facebook.com
Wahun* wanamnyang'anya chama mzee wa watu.View attachment 3371426
DAR. Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Hashim Rungwe maarufu Mzee wa Ubwabwa amelazwa katika Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Kilimanjaro (KCMC) kutokana na uchovu wa kazi nyingi.
Kwa mujibu wa Ofisa Uhusiano wa hospitali hiyo, Gabriel Chisseo, Rungwe alifikishwa hospitalini hapo tangu juzi Juni 14 baada ya kuzidiwa na ucovu.
“Ni kweli tuko naye hapa tangu juzi tumempumzisha. Ni kwa sababu ya uchovu wa shughuli zake, hivyo tumempumzisha kwenye wodi za watu maarufu,” amesema leo Juni 16.
Awali, Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Taarifa kwa Umma wa CHAUMMA, John Mrema alipoulizwa hali ya afya ya Rungwe alikiri kweli anaumwa, ila akasema hilo ni suala la kifamilia.
“Alikuwa anaumwa akampumzishwa tu, lakini ameshatolewa. Taarifa kamili itatolewa na familia,” alisema awali.
Hata hivyo, baadaye, Mrema alisema Mzee wa Ubwabwa amerejeshwa hospitalini hapo, baada ya hali yake kubadilika.
“Amerudishwa ‘hospitali, ila KCMC ndio watatoa taarifa rasmi.”
Takribani wiki mbili sasa, CHAUMMA wamekuwa kwenye mikutano ya Operesheni C4C wakizunguka mikoani wakiongozwa na Mzee wa Ubwabwa.
Mrema na Kigaila wanataka wampeleke peponi ili wabaki na chama.Wahuni aliowakaribisha watammaliza.
Sidhani, kuna Salum Mwalimu mzenji na wengine wengi tu kutoka mikoa mbalimbali.Wanataka ku mkolimba huyo. Ili chama kiende kaskazini kama kawaida
Huyu mzee namuona kabisa hali yake sio nzuriView attachment 3371426