Gari bovu kiasi hiki likienda garage uwezekano wakutoka ni 50/50.View attachment 3371426
DAR. Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Hashim Rungwe maarufu Mzee wa Ubwabwa amelazwa katika Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Kilimanjaro (KCMC) kutokana na uchovu wa kazi nyingi.
Kwa mujibu wa Ofisa Uhusiano wa hospitali hiyo, Gabriel Chisseo, Rungwe alifikishwa hospitalini hapo tangu juzi Juni 14 baada ya kuzidiwa na ucovu.
“Ni kweli tuko naye hapa tangu juzi tumempumzisha. Ni kwa sababu ya uchovu wa shughuli zake, hivyo tumempumzisha kwenye wodi za watu maarufu,” amesema leo Juni 16.
Awali, Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Taarifa kwa Umma wa CHAUMMA, John Mrema alipoulizwa hali ya afya ya Rungwe alikiri kweli anaumwa, ila akasema hilo ni suala la kifamilia.
“Alikuwa anaumwa akampumzishwa tu, lakini ameshatolewa. Taarifa kamili itatolewa na familia,” alisema awali.
Hata hivyo, baadaye, Mrema alisema Mzee wa Ubwabwa amerejeshwa hospitalini hapo, baada ya hali yake kubadilika.
“Amerudishwa ‘hospitali, ila KCMC ndio watatoa taarifa rasmi.”
Takribani wiki mbili sasa, CHAUMMA wamekuwa kwenye mikutano ya Operesheni C4C wakizunguka mikoani wakiongozwa na Mzee wa Ubwabwa.
Kizunguzungu cha Hélicoptère hicho. Hélicoptère yenyewe nayo nimeiona mahali juu ya TIR moja flat bed. 🤓View attachment 3371426
DAR. Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Hashim Rungwe maarufu Mzee wa Ubwabwa amelazwa katika Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Kilimanjaro (KCMC) kutokana na uchovu wa kazi nyingi.
Kwa mujibu wa Ofisa Uhusiano wa hospitali hiyo, Gabriel Chisseo, Rungwe alifikishwa hospitalini hapo tangu juzi Juni 14 baada ya kuzidiwa na ucovu.
“Ni kweli tuko naye hapa tangu juzi tumempumzisha. Ni kwa sababu ya uchovu wa shughuli zake, hivyo tumempumzisha kwenye wodi za watu maarufu,” amesema leo Juni 16.
Awali, Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Taarifa kwa Umma wa CHAUMMA, John Mrema alipoulizwa hali ya afya ya Rungwe alikiri kweli anaumwa, ila akasema hilo ni suala la kifamilia.
“Alikuwa anaumwa akampumzishwa tu, lakini ameshatolewa. Taarifa kamili itatolewa na familia,” alisema awali.
Hata hivyo, baadaye, Mrema alisema Mzee wa Ubwabwa amerejeshwa hospitalini hapo, baada ya hali yake kubadilika.
“Amerudishwa ‘hospitali, ila KCMC ndio watatoa taarifa rasmi.”
Takribani wiki mbili sasa, CHAUMMA wamekuwa kwenye mikutano ya Operesheni C4C wakizunguka mikoani wakiongozwa na Mzee wa Ubwabwa.
We mwache na ujuaji wake. Sidhani kama atakuwa tayari kuachia uenyekiti kirahisi huyu mzee mana alikuwa anakitumia kama platform ya kujiburudisha kwa kujionesha kwa wananchi kipindi cha uchaguzi, ndiyo ilikuwa furaha yake!Wahuni aliowakaribisha watammaliza.
Wahuni siyo watuWahuni wanataka kummaliza ili wakipore chama mazima
🥷🐼Wahuni aliowakaribisha watammaliza.
Rip RungweView attachment 3371426
DAR. Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Hashim Rungwe maarufu Mzee wa Ubwabwa amelazwa katika Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Kilimanjaro (KCMC) kutokana na uchovu wa kazi nyingi.
Kwa mujibu wa Ofisa Uhusiano wa hospitali hiyo, Gabriel Chisseo, Rungwe alifikishwa hospitalini hapo tangu juzi Juni 14 baada ya kuzidiwa na ucovu.
“Ni kweli tuko naye hapa tangu juzi tumempumzisha. Ni kwa sababu ya uchovu wa shughuli zake, hivyo tumempumzisha kwenye wodi za watu maarufu,” amesema leo Juni 16.
Awali, Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Taarifa kwa Umma wa CHAUMMA, John Mrema alipoulizwa hali ya afya ya Rungwe alikiri kweli anaumwa, ila akasema hilo ni suala la kifamilia.
“Alikuwa anaumwa akampumzishwa tu, lakini ameshatolewa. Taarifa kamili itatolewa na familia,” alisema awali.
Hata hivyo, baadaye, Mrema alisema Mzee wa Ubwabwa amerejeshwa hospitalini hapo, baada ya hali yake kubadilika.
“Amerudishwa ‘hospitali, ila KCMC ndio watatoa taarifa rasmi.”
Takribani wiki mbili sasa, CHAUMMA wamekuwa kwenye mikutano ya Operesheni C4C wakizunguka mikoani wakiongozwa na Mzee wa Ubwabwa.
John Mrema kishamchanganyia Mzee Kisungura kwenye Fanta orange. Wanataka warithi Chama mapema.View attachment 3371426
DAR. Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Hashim Rungwe maarufu Mzee wa Ubwabwa amelazwa katika Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Kilimanjaro (KCMC) kutokana na uchovu wa kazi nyingi.
Kwa mujibu wa Ofisa Uhusiano wa hospitali hiyo, Gabriel Chisseo, Rungwe alifikishwa hospitalini hapo tangu juzi Juni 14 baada ya kuzidiwa na ucovu.
“Ni kweli tuko naye hapa tangu juzi tumempumzisha. Ni kwa sababu ya uchovu wa shughuli zake, hivyo tumempumzisha kwenye wodi za watu maarufu,” amesema leo Juni 16.
Awali, Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Taarifa kwa Umma wa CHAUMMA, John Mrema alipoulizwa hali ya afya ya Rungwe alikiri kweli anaumwa, ila akasema hilo ni suala la kifamilia.
“Alikuwa anaumwa akampumzishwa tu, lakini ameshatolewa. Taarifa kamili itatolewa na familia,” alisema awali.
Hata hivyo, baadaye, Mrema alisema Mzee wa Ubwabwa amerejeshwa hospitalini hapo, baada ya hali yake kubadilika.
“Amerudishwa ‘hospitali, ila KCMC ndio watatoa taarifa rasmi.”
Takribani wiki mbili sasa, CHAUMMA wamekuwa kwenye mikutano ya Operesheni C4C wakizunguka mikoani wakiongozwa na Mzee wa Ubwabwa.
Wamkodi Gilbert A Massawe mtaalamu wa hizi kazi, mzee hamalizi wiki atakuwa ameshafukiwa futi sita chini.Wahuni wanataka kummaliza ili wakipore chama mazima
RIP in Advance, ametumika kusaliti harakati za ukombozi na kukubali kuwa daraja la kuwaangusha wapinzani wa ccmView attachment 3371426
DAR. Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Hashim Rungwe maarufu Mzee wa Ubwabwa amelazwa katika Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Kilimanjaro (KCMC) kutokana na uchovu wa kazi nyingi.
Kwa mujibu wa Ofisa Uhusiano wa hospitali hiyo, Gabriel Chisseo, Rungwe alifikishwa hospitalini hapo tangu juzi Juni 14 baada ya kuzidiwa na ucovu.
“Ni kweli tuko naye hapa tangu juzi tumempumzisha. Ni kwa sababu ya uchovu wa shughuli zake, hivyo tumempumzisha kwenye wodi za watu maarufu,” amesema leo Juni 16.
Awali, Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Taarifa kwa Umma wa CHAUMMA, John Mrema alipoulizwa hali ya afya ya Rungwe alikiri kweli anaumwa, ila akasema hilo ni suala la kifamilia.
“Alikuwa anaumwa akampumzishwa tu, lakini ameshatolewa. Taarifa kamili itatolewa na familia,” alisema awali.
Hata hivyo, baadaye, Mrema alisema Mzee wa Ubwabwa amerejeshwa hospitalini hapo, baada ya hali yake kubadilika.
“Amerudishwa ‘hospitali, ila KCMC ndio watatoa taarifa rasmi.”
Takribani wiki mbili sasa, CHAUMMA wamekuwa kwenye mikutano ya Operesheni C4C wakizunguka mikoani wakiongozwa na Mzee wa Ubwabwa.
Mh 🤔 🤔 tayar kaz imeanza....View attachment 3371426