Rungwe ‘Mzee wa Ubwabwa’ alazwa KCMC

Awe makini, Mbowe katuma pace makers huko kuandaa njia ya uenyekiti.
 
Pesa ya bi chura itatoa uhai, tamaa mbele mauti nyuma
 
Hapo G55 wanabadilisha Gia angani, anakuta na taarifa kwa kuwa mzee afya sio nzuri, basi inabidi a hie ngazi na hivyo wachague Mwenyekiti mpya! Alafu Mwamba anajongea taratibuuuu! 😁😁
 
Hashim aliishachoka alitaka kujaribu maisha ya majukwaani?

Yeye kazoe anaongea na mwana habari akiwa ofisini anazunguka kwenye kiti na kuvuta vuta vidole tu.

Tuna muombea apone arudi kucheza na wajukuu.
 
Wahun* wanamnyang'anya chama mzee wa watu.
 
Huyu mzee namuona kabisa hali yake sio nzuri
Sijui kama Oktoba tutafika naye( nimesema kibinadamu )
Msije mkasema kwani wewe ni Mungu
 
Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Hashim Rungwe amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini, KCMC, kutokana na uchovu ulioelezwa kusababishwa na ziara za chama.

Msemaji wa KCMC, Gabriel Chiseo amesema Rungwe kwa sasa anaendelea vizuri na kwamba madaktari wanaendelea na uchunguzi zaidi juu ya afya yake.
 
Mwenyezi Mungu amfanyie wepesi apone kwa haraka inshallah
 
Apone Haraka
Thread Hii Iunganishe Kwenye Ile Ya Awali
 
Uchovu tu analazwa?si angelala kwake tuu😂😂😂
 
Huyu tayari miguu juu,
Sasa safari ya kuja mwanza na kule kwingine na kuhutubia watu wasiozidi 30, tayari amechoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…