Rungwe ‘Mzee wa Ubwabwa’ alazwa KCMC

wale njaa55 wanataka kum-restisha mzee wetu ili wamiliki chama
 
Rungwe alikuwa anatoa hotuba za mkutano wa CHAUMMA ukimsikiliza tu unaona huyu mzee kachoka.
kwenye interview yake mzee anasema njaa55 wamefuata ubwaubwa wana njaa tu wale sasa akina Joni hawapendi haya maneno wanaona kama mzee anawadhalilisha
 
Yaani wakupe Hela yao halafu bado utake kuendelea Kuwaongoza Chamani? Thubutu.......Wamerogwa au? Wenye Akili kubwa tumeanza kuhusu kuwa tayari Kitu kikali cha Mrusi kimeenda mahali pake ili baadae tuanze Kujifunza nini cha Kuandika katika Vitabu vya / Kitabu cha MAOMBOLEZO kama Kibuyu kikilia rasmi.
 
kwenye interview yake mzee anasema njaa55 wamefuata ubwaubwa wana njaa tu wale sasa akina Joni hawapendi haya maneno wanaona kama mzee anawadhalilisha
Mzee Rungwe ndiye mwanasiasa mkweli kuliko wote Tanzania.

Kwenye interview na Chief Odemba alikuwa anasema wazi wanakula pesa za umma.

Odemba naye mduanzi anarudia swali hilo hilo moja mara nne nne.

It went something like this ( I am paraphrasing).

Odemba:"Mnakula?"
Rungwe: Eeh ndiyo.
Odemba:"Pesa za umma?"
Rungwe : Kila mtu anakula.
Odemba : "Pesa za wananchi kabisa.." Rungwe : Sasa tufanye nini wanatupa tunakula.
 
Duh, isije kuwa kuna mwenyekiti ameshaandiwa na wale viwavi jeshi anapiga jalamba kusubiri termination ya mzee wa mahotpot......!
 
Mkuu pole yake, apate ahueni arudi kwenye majukumu yake ya ujenzi wa taifa.
 
ila Bwege kamaliza yote bata katanguliza watoto
Siro akiwa IGP aliwahi kusema wanao ushahidi usio na shaka wa ugaidi wa bata, kilichofata ni kutumbuliwa kwa Siro, na mbowe kwenda direct Ikulu baada ya kuachiwa.

Unganisha na kauli ya Zitto akiwa naibu katibu mkuu, " Wangwe died, I won't", na nyingine aliyomtupia Saanane Ben, " mkiniua, hakuna hata panya atakayesalimika majumbani mwenu".

Baada ya kifo cha mzee Kibao, Lissu alisema hatazungumzia kifo hicho.

Nashawishika kuamini kuwa uongozi uliopita wa chadema ulishirikiana, na unaendelea kushirikiana na hili genge la wanaoitwa wasiojulikana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…