Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Tulionya tangu awali kwamba Chadema ikishaingia mitaani ccm itafute pa kujificha, na hivyo ndivyo inavyotokea.
Leo Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi, amefika Tukuyu kwenye eneo maarufu la kibiashara la Kiwira na kuisambaratisha kabisa CCM bila huruma yoyote
Angalia hapa
Angalizo: Si rahisi kwa Mkutano wa Chama cha kibwege cha siasa kukusanya umati kama huu Kiwira, Hii ni kwa sababu watu wa hapo wako bize mno na biashara zao, sasa ukiona wanaacha mambo yao na kuja kukusikiliza ni lazima ujue wanakuamini mno! CCM wamejaribu mara kadhaa hapa wamechemsha.