Pre GE2025 Rungwe: Sugu aendelea kuiteketeza CCM Kanda ya Nyasa

Pre GE2025 Rungwe: Sugu aendelea kuiteketeza CCM Kanda ya Nyasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwan nani alieufunga moyo wangu na kivipi aufunge gentleman 🤣

naona unazungumzia watu tu 🤣

siku mkianza kusambaratishwa na kuteketezwa ndio mtaaelewa tofauti ya kuzungumzia issues au kuzungumza kuhusu watu 🐒

by the way upinzani kwa ujumla wake uchaguzi mkuu ujao hawawezi kuzidi 5% ya kura zote 🤣
Mbona sikuelewi ...mnatumia watu kuwakabili CHADEMA kisiasa..halafu hutaki tuwaongelee hao watu( Upendo na Msigwa!!)???
 
Umeanza siasa lini? maana tusijekuwa tunabishana na mbumbumbu
Ngumu kumwelewa huyu kiumbe.Chama chake kinatumia watu majukwaani(Upendo na Msigwa)ili kuwakabili CHADEMA kisiasa na analijua hilo ajabu namwambia huo mkakati ni mfilisi ananilaumu tena eti naongelea watu tu( hao hao wanao watumia)siongelei issues?.Swali lako kwake kwangu ni jibu...sihangaiki naye asilani tena.
 
Mbona sikuelewi ...mnatumia watu kuwakabili CHADEMA kisiasa..halafu hutaki tuwaongelee hao watu( Upendo na Msigwa!!)???
ondoa pupa na mihemko,
zingatia mtiririko mjadala utaelewa tu gentleman, pole pole 🐒
 
Back
Top Bottom