Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
AmenMungu ibariki chadema
Hakika@freefom is coming tomorrow
hofu yangu ni pale atakapo anza kusambaratishwa na kuteketezwa yeye na chama chake, itakua ni aibu aise πTulionya tangu awali kwamba Chadema ikishaingia mitaani ccm itafute pa kujificha, na hivyo ndivyo inavyotokea.
Leo Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi, amefika Tukuyu kwenye eneo maarufu la kibiashara la Kiwira na kuisambaratisha kabisa CCM bila huruma yoyote
Angalia hapa
View attachment 3036133View attachment 3036134
Angalizo: Si rahisi kwa Mkutano wa Chama cha kibwege cha siasa kukusanya umati kama huu Kiwira, Hii ni kwa sababu watu wa hapo wako bize mno na biashara zao, sasa ukiona wanaacha mambo yao na kuja kukusikiliza ni lazima ujue wanakuamini mno! CCM wamejaribu mara kadhaa hapa wamechemsha.
Labda waje polisi, leo hii ukiuliza hata Amos Makalla mbunge wa Rungwe ni nani hana majibuhofu yangu ni pale atakapo anza kusambaratishwa na kuteketezwa yeye na chama chake, itakua ni aibu aise π
unaelewa kuna aina Fulani ya visingizio havitawasaidia kupunguza moto wa CCM, havitakua na maana wala havitazuia kuwasambaratisha na kuwateketeza kabisa na kuwafutilia mbali kwenye medani ya juu ya siasa za Tanzania hususan kwenye eneo unalojigamba kuliteketeza πLabda waje polisi, leo hii ukiuliza hata Amos Makalla mbunge wa Rungwe ni nani hana majibu
Machawa wa ccm ndio wanasombwa kama mifugo!Naona mabasi yana subiria abiria wa kuwarudisha makwao kilometers 200-500.
Picha kama ya mwaka 1977 haionekani vizuri imepigwa kimkakati kuhadaa watu!Tulionya tangu awali kwamba Chadema ikishaingia mitaani ccm itafute pa kujificha, na hivyo ndivyo inavyotokea.
Leo Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi, amefika Tukuyu kwenye eneo maarufu la kibiashara la Kiwira na kuisambaratisha kabisa CCM bila huruma yoyote
Angalia hapa
View attachment 3036133View attachment 3036134
Angalizo: Si rahisi kwa Mkutano wa Chama cha kibwege cha siasa kukusanya umati kama huu Kiwira, Hii ni kwa sababu watu wa hapo wako bize mno na biashara zao, sasa ukiona wanaacha mambo yao na kuja kukusikiliza ni lazima ujue wanakuamini mno! CCM wamejaribu mara kadhaa hapa wamechemsha.
Acha ujinga rungwe majimbo yote mawili ni chadema hakuna ccm hapa muulize jakaya mrisho kikwete ndio atakuambia vizuri.unaelewa kuna aina Fulani ya visingizio havitawasaidia kupunguza moto wa CCM, havitakua na maana wala havitazuia kuwasambaratisha na kuwateketeza kabisa na kuwafutilia mbali kwenye medani ya juu ya siasa za Tanzania hususan kwenye eneo unalojigamba kuliteketeza π
Jifariji na hata ikiwa hivyo chungu kikuu cha kupika viingozi ni chadema majinga ya uvccm yatabaki kupewa mipikipiki ya kijani.Anaiteketeza vipi wakati na yeye ni mwanaCCM mwenzetu ambaye yuko CHADEMA kwa kazi maalum?
Hadaa na wewe kwa mikutano ya MsigwaPicha kama ya mwaka 1977 haionekani vizuri imepigwa kimkakati kuhadaa watu!
Edelea kujirekenyaAnaiteketeza vipi wakati na yeye ni mwanaCCM mwenzetu ambaye yuko CHADEMA kwa kazi maalum?
unajua ukianza kujibu hoja kwa mihemko unajitambulusha kwamba uko kwenye ukomo wa fikra mbadala wa hoja iliyoelezwa whether ni kukosea, kukubali au kukataa hoja ya msingi πAcha ujinga rungwe majimbo yote mawili ni chadema hakuna ccm hapa muulize jakaya mrisho kikwete ndio atakuambia vizuri.