Pre GE2025 Rungwe: Sugu aendelea kuiteketeza CCM Kanda ya Nyasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mbona sikuelewi ...mnatumia watu kuwakabili CHADEMA kisiasa..halafu hutaki tuwaongelee hao watu( Upendo na Msigwa!!)???
 
Umeanza siasa lini? maana tusijekuwa tunabishana na mbumbumbu
Ngumu kumwelewa huyu kiumbe.Chama chake kinatumia watu majukwaani(Upendo na Msigwa)ili kuwakabili CHADEMA kisiasa na analijua hilo ajabu namwambia huo mkakati ni mfilisi ananilaumu tena eti naongelea watu tu( hao hao wanao watumia)siongelei issues?.Swali lako kwake kwangu ni jibu...sihangaiki naye asilani tena.
 
Mbona sikuelewi ...mnatumia watu kuwakabili CHADEMA kisiasa..halafu hutaki tuwaongelee hao watu( Upendo na Msigwa!!)???
ondoa pupa na mihemko,
zingatia mtiririko mjadala utaelewa tu gentleman, pole pole 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…