The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Kikundi cha 'Wanawake shujaa' wilaya ya Rungwe, mkoani Mbeya wamechangia fedha zaidi ya shilingi milioni moja za Kitanzania Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya kuchukua fomu ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uchaguzi wa mwaka huu (2025) kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM)
Zoezi hilo limeongizwa na Dkt. Yasinta Mafwenga aliyekuwa mgeni rasmi kwenye kongamano la wanawake la kujikwamua kiuchumi ambapo qanawake hao wamesema wamefikia hatua hiyo baada ya kuridhishwa na utendaji kazi wa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025