Rupia: Hazina ya Mjerumani

Hiv hizi rupia mbona nasikia zina some element ya uchawi
Wengi humu wanaongelea tu rupia ambazo kiuhalisia hazina bei kama tunavyoaminishwa.
Ninachokubaliana na wachangiaji wengine ni kuwa baada ya kuondoka kwa wajerumani walichimbia hazina kubwa ya madini yenye thamani sehemu tofauti hapa nchini, tatizo linabaki namna ya kuweza kuyapata hapo ndo penye mtihani mkubwa kwani kuna utaalam wa hali ya juu ulitumika kuyaficha.
 
Hahahahah,Mm mwenyewe ni miner wa madini ya Vito,ktk vitu ambavyo siamini ni story za rupia au mercury,kusema ukatafute hivyo ni kupoteza muda wako bure
 
Sasa basi Mimi ni mkazi WA dar es salaam... NAKUHAKIKISHIA Wewe uliyemakini na unajua kweli unamali za kijeruman aidha Wewe unamiliki au ndugu yako rafiki yako au kuna mtu unaemjua anamiliki Iwe ni FUFUMARK, MERCURY YAN MAJI MEKUNDU AU NJANO AU MEUSI, KOROFINDO, RUPIA YA SIMBA WAWILI, KUFULI , JIKO, CHEMLI, RUPIA YA KITUMBUA, PASI, DINALI, SHILLING MOJA YA MWAKA 1978 NA 1979 , MAJI YA KIZA, CHOMBO CHOCHOTE CHA KIJERUMAN NEMBO NA MAJARIBIO YAKE YAFAULU BASI tajiriAnaechukua hvyo vitu Yupo Hapa dar es salaam ni WA uhakika na anavibali vyote na utapewa sadaka au Zawad yako bila matatizo yeyote(kumbuka hii ni sadaka na si biashara hivi vitu Vina majin na ni vya kifalme hvyohatutumii neno biashara au kuuza) tuwasiliane Kwa namba 0716637717 au 0769767771naomba uwe Tayar kuja dar na si vinginevyo wasumbufu na nmatapeli najua mnaisoma hii tafadhali kaeni mbali.. Msituharibie watutuliomakin na tunaojua nnn tunafanya
 
Kaka sikujui Wewe ni nani Inawezekana Kwa namna Moja ama. Nyingine tulishindwana Kitu na hasa Itakuwa Ulikuwa na nia zile zile ninazozieleza kila niingiapo humu... Sikuingia humu Kwa Miez Mingi Ila Leo nimeliona hili toka kwako.. Nadhan unania pofu Pole Sana Sababu HUJUI ulisemalo
 
[/QUOTE]
Wewe Unasema Kaka yako sijui anarupia Sijui vitu vya kijeruman kama ni kweli ni Kwa nn tusiwasiliane na Akaja dar tukamaliza hyo Kazi lakin unaishia Kuongeaa maneno meengi ndo tatzo linapokuwa hapo MAPOVU tu bila kujua ulisemalo we nitafute tuzungumze kama mko dar n Vizur zaid tuchekiane na tuone hvyo alivyonavyo huyo Kaka yako na Kama ni vyenyewe basi Kazi itafanyika na atalipwa sadaka yake ndipo utapoamini na Kama SIVYo ndipo uwe na haki ya kuongea 0716637717 Sema lingine HIYO ndio namba yangu always
 
kiongozi nauliza tu kwani mtu akiendelea kuvishikilia hivi vitu nyumbani kwake vinaleta tatizo?
 
Have vtu vipo kwer ila mashart yake c mchezo,mm nina babu yangu yupo chita huko yy analo Jiko la stovu nimeliona na hayo maajabu yake.
masharti ni yakawaida sana ila watu wameisha kuwa waongo kupita hata ukweli na wanatafuta vijisenti tu vya mifukoni mwa mwatu na ramani ya ficho ni nayo ambayo inaonesha jengo zima la mali za kijeru ila ni siri ziwezi kuposti hata siku moja
na mali zao pia ni sili ulisha wai ona fufumark kwenye mtandao i mean Gooogle utasearch mpaka ufe na ukweli uto una ukileta akili zako za darasarani kwenye kwenye hii BZ utakimbia na uwezi pata mali ya mjeru bila kuishiwa pesa zako zote ulizonazo unless una Hodmaa na haziusishwi na uganga japokuwa waganga wanaweza kuona uwepo wa hivyo vitu na vinathamani ya hali ya juu sana ukipata na ukauza ndio umetoka kimaisha.
 
unaweza thibitisha maneno yako au umelopoka tu kwakua ujui
 
maranyingi story kama hizi ndizo zinapelekea watu kupigwa, maana watahusishwa waganga na watu wakila aina ili kumvutia mlengwa. ukisikia mzungu anaulizia rupia ni kwa ajili ya kumbukumbu tu na si vinginevyo!
ujui unachokisema jeruman rupiee na mali zao zingine huwez pata inayotafutwa kwenye HII historia ya wajerumani(German Oster Africa(DOA) ) iliopo hapa TZ mpka kwao
 
ujui unachokisema jeruman rupiee na mali zao zingine huwez pata inayotafutwa kwenye HII historia ya wajerumani(German Oster Africa(DOA) ) iliopo hapa TZ mpka kwao
na mali zipo hata TZ ila ziko aridhini huo ndio ukweli vitu vya mkononi vipo navyo ila wenye navyo ni wagumu sana kuvitoa au kumtoa kwakwe coz hizo pesa ni viumbe hai na hizi habari zinazo ingia mijini kunarupia au mercury ni uongo njia za mataperi kwanza pure red mercury from ground ni chakula cha majini wanawezaje kuwakwepa majini wotewalio tuzunguka na kuifikisha mjini kama sio story hizi
kwani ukiwa nayo tu yenye wajomba nao wanakufuata pale ulipo
 
ujui unachokisema jeruman rupiee na mali zao zingine huwez pata inayotafutwa kwenye HII historia ya wajerumani(German Oster Africa(DOA) ) iliopo hapa TZ mpka kwao
Huo ni uzushi tu mnatafuta watu wa kuwapigia waTZ sasahivi tumejanjaruka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…