Rupia: Hazina ya Mjerumani

Rupia: Hazina ya Mjerumani

Hiv hizi rupia mbona nasikia zina some element ya uchawi
Wengi humu wanaongelea tu rupia ambazo kiuhalisia hazina bei kama tunavyoaminishwa.
Ninachokubaliana na wachangiaji wengine ni kuwa baada ya kuondoka kwa wajerumani walichimbia hazina kubwa ya madini yenye thamani sehemu tofauti hapa nchini, tatizo linabaki namna ya kuweza kuyapata hapo ndo penye mtihani mkubwa kwani kuna utaalam wa hali ya juu ulitumika kuyaficha.
 
NIMEGUNDUA HUMU NDANI KUNA JAMAA ANA ID zaidi ya 3 anaongea anakuja kujisupport na kujiomba namba ya simu. Ni tapeli mkubwa anawajaza watu upepo then akawatobolee huko mbele.hizi ni habar za kunywea kahawa ,kimpumu na komoni hakuna ukwel wowote. Watu watalizwa sana humu ndani
Hahahahah,Mm mwenyewe ni miner wa madini ya Vito,ktk vitu ambavyo siamini ni story za rupia au mercury,kusema ukatafute hivyo ni kupoteza muda wako bure
 
Sasa basi Mimi ni mkazi WA dar es salaam... NAKUHAKIKISHIA Wewe uliyemakini na unajua kweli unamali za kijeruman aidha Wewe unamiliki au ndugu yako rafiki yako au kuna mtu unaemjua anamiliki Iwe ni FUFUMARK, MERCURY YAN MAJI MEKUNDU AU NJANO AU MEUSI, KOROFINDO, RUPIA YA SIMBA WAWILI, KUFULI , JIKO, CHEMLI, RUPIA YA KITUMBUA, PASI, DINALI, SHILLING MOJA YA MWAKA 1978 NA 1979 , MAJI YA KIZA, CHOMBO CHOCHOTE CHA KIJERUMAN NEMBO NA MAJARIBIO YAKE YAFAULU BASI tajiriAnaechukua hvyo vitu Yupo Hapa dar es salaam ni WA uhakika na anavibali vyote na utapewa sadaka au Zawad yako bila matatizo yeyote(kumbuka hii ni sadaka na si biashara hivi vitu Vina majin na ni vya kifalme hvyohatutumii neno biashara au kuuza) tuwasiliane Kwa namba 0716637717 au 0769767771naomba uwe Tayar kuja dar na si vinginevyo wasumbufu na nmatapeli najua mnaisoma hii tafadhali kaeni mbali.. Msituharibie watutuliomakin na tunaojua nnn tunafanya
 
Kaka sikujui Wewe ni nani Inawezekana Kwa namna Moja ama. Nyingine tulishindwana Kitu na hasa Itakuwa Ulikuwa na nia zile zile ninazozieleza kila niingiapo humu... Sikuingia humu Kwa Miez Mingi Ila Leo nimeliona hili toka kwako.. Nadhan unania pofu Pole Sana Sababu HUJUI ulisemalo
 
Uongo wa kiwango cha lami kabisa.


QUOTE="Hepatis B, post: 8508332, member: 125022"]Nimechelewa kuisoma hii mada ila sio mbaya kutokana na mda na siku yenyewe ilivyokaa leo ntaomba niwambie kifupi tu na mim nayojua kuhusu hii topic. Baada ya vita ya kwanza kuisha mjeruman alinyang'anywa makolon yake yote na baada ya kunyang'anywa wakat anaondoka kurud kwao muingereza aliwaambia hamna kuondoka na kitu zaid ya beg lako tu na alikuwa anawasachi wakat wakipanda mel au ndege kurud kwao, hii ndio ilopelekea wajeruman kuficha vitu vyao. Bas nije kwenye mada binafsi rupia nimeiona na maajabu yake ingawa sijaishika kakaangu alitumia miaka 3 kuchimba hiyo rupia ukerewe mwanza na baada ya kurud nyumban akil yake ilikuwa sio sawa na hii ilitufanya tujue ni kwel anayosema? Nilienda had ukerewe kwa rafik zake aliposema kuna hivyo vitu na wanatafta mteja. Walipata rupia nying ila wanazo nane ambazo zina nguvu ya ajabu. Hizo rupia mojawapo nimeiona kwenye picha hapo ya huyo mjeruman mwenye kofia yenye ndege. Hiyo rupia ni nyekundu kama shaba na pia ina sumaku na ina vuta coin nyingne na vitu chuma vidogo dogo na pia hiyo coin ukichukua blastic uweke maji na yenyewe ikae chin bas ukiweka coin yoyote juu yake haizam inaelea na bdae inatupwa nje ya kibakul. Na sio kila mtu anaweza kushika hiyo rupia huwa inapotea na kuna makabidhiano wakat inavyotoka kwa mtu kwenda kwa mwingne kuna kafara lazima zifanyike ndo uimilki. Ukiachana na rupia kuna pas kama ya mkaa ambayo ni nzito na hii inafanya kaz inaweekwa juan tu unanyooshea, taa ya chemry hii ipo kama iyo pas nayo, saa ya ukutan na pia walipata bunduki (rifle) na risas zake nying. Kwaiyo sio kitu ambacho ni imagination ila kweli kipo. Inasemekana kwel rupia imechanganywa na damu na mifupa ya watu ila sio zote ni hizo chache ambazo nimesema hapo juu. Watu wamekuwa wakitapelewa kwel sababu rupia ni hela ya kawaida ukiachana na hiyo maajabu. Kaka angu ameniambia walienda had kigoma kupewa dawa kwa waganga ili waweze kuingia kwenye ilo shimo. Na kwel baada ya kupata hivo vitu walisumbuka sana ni kama waliiba ile mizimu iliyoachwa pale iliendelea kuwasumbua had walipoenda tena kufanyiwa matambako kibao. Hivyo vitu wanavyo kabisa ila hadi sasa nakwambia hamna mteja ambaye wamepata na vitu wanavyo tu. Sasa ukija kiundan hivyo sio vitu vya kufuatilia hata kidogo vimezungukwa na nguvu ya giza ambayo sio nzur. Tutafute ela kwa njia halal na sio had kwa waganga au vitu vyenye nguvu ys giza sababu tunapita tu hapa dunian. Bro tulimkalisha chin tukamwelekeza ila hakuelewa na yupo bdo anaangaika na wenzake kutafuta wateja wengi mashart na bei wanayouza vimewashinda.
[/QUOTE]
Wewe Unasema Kaka yako sijui anarupia Sijui vitu vya kijeruman kama ni kweli ni Kwa nn tusiwasiliane na Akaja dar tukamaliza hyo Kazi lakin unaishia Kuongeaa maneno meengi ndo tatzo linapokuwa hapo MAPOVU tu bila kujua ulisemalo we nitafute tuzungumze kama mko dar n Vizur zaid tuchekiane na tuone hvyo alivyonavyo huyo Kaka yako na Kama ni vyenyewe basi Kazi itafanyika na atalipwa sadaka yake ndipo utapoamini na Kama SIVYo ndipo uwe na haki ya kuongea 0716637717 Sema lingine HIYO ndio namba yangu always
 
Sasa basi Mimi ni mkazi WA dar es salaam... NAKUHAKIKISHIA Wewe uliyemakini na unajua kweli unamali za kijeruman aidha Wewe unamiliki au ndugu yako rafiki yako au kuna mtu unaemjua anamiliki Iwe ni FUFUMARK, MERCURY YAN MAJI MEKUNDU AU NJANO AU MEUSI, KOROFINDO, RUPIA YA SIMBA WAWILI, KUFULI , JIKO, CHEMLI, RUPIA YA KITUMBUA, PASI, DINALI, SHILLING MOJA YA MWAKA 1978 NA 1979 , MAJI YA KIZA, CHOMBO CHOCHOTE CHA KIJERUMAN NEMBO NA MAJARIBIO YAKE YAFAULU BASI tajiriAnaechukua hvyo vitu Yupo Hapa dar es salaam ni WA uhakika na anavibali vyote na utapewa sadaka au Zawad yako bila matatizo yeyote(kumbuka hii ni sadaka na si biashara hivi vitu Vina majin na ni vya kifalme hvyohatutumii neno biashara au kuuza) tuwasiliane Kwa namba 0716637717 au 0769767771naomba uwe Tayar kuja dar na si vinginevyo wasumbufu na nmatapeli najua mnaisoma hii tafadhali kaeni mbali.. Msituharibie watutuliomakin na tunaojua nnn tunafanya
kiongozi nauliza tu kwani mtu akiendelea kuvishikilia hivi vitu nyumbani kwake vinaleta tatizo?
 
Have vtu vipo kwer ila mashart yake c mchezo,mm nina babu yangu yupo chita huko yy analo Jiko la stovu nimeliona na hayo maajabu yake.
masharti ni yakawaida sana ila watu wameisha kuwa waongo kupita hata ukweli na wanatafuta vijisenti tu vya mifukoni mwa mwatu na ramani ya ficho ni nayo ambayo inaonesha jengo zima la mali za kijeru ila ni siri ziwezi kuposti hata siku moja
na mali zao pia ni sili ulisha wai ona fufumark kwenye mtandao i mean Gooogle utasearch mpaka ufe na ukweli uto una ukileta akili zako za darasarani kwenye kwenye hii BZ utakimbia na uwezi pata mali ya mjeru bila kuishiwa pesa zako zote ulizonazo unless una Hodmaa na haziusishwi na uganga japokuwa waganga wanaweza kuona uwepo wa hivyo vitu na vinathamani ya hali ya juu sana ukipata na ukauza ndio umetoka kimaisha.
 
Afadhali nawewe umetilia shaka kidogo, lakini kiuhalisia ni story zinazotengenezwa na Matapeli. hakuna ukweli wowote katika hizo story. na kama ulivyo eleza mnunuzi huwa hajulikani hata siku moja ila kama unapesa za kutosha wauzaji wapo wengi tu na utapewa matamanio mengi sana ya kupata hizo mali maana zinakuwa ni story za kufikirika tu na watu waliofanikiwa katika mali hizo wanakuwa ni wakufikirika tu.
unaweza thibitisha maneno yako au umelopoka tu kwakua ujui
 
maranyingi story kama hizi ndizo zinapelekea watu kupigwa, maana watahusishwa waganga na watu wakila aina ili kumvutia mlengwa. ukisikia mzungu anaulizia rupia ni kwa ajili ya kumbukumbu tu na si vinginevyo!
ujui unachokisema jeruman rupiee na mali zao zingine huwez pata inayotafutwa kwenye HII historia ya wajerumani(German Oster Africa(DOA) ) iliopo hapa TZ mpka kwao
 
ujui unachokisema jeruman rupiee na mali zao zingine huwez pata inayotafutwa kwenye HII historia ya wajerumani(German Oster Africa(DOA) ) iliopo hapa TZ mpka kwao
na mali zipo hata TZ ila ziko aridhini huo ndio ukweli vitu vya mkononi vipo navyo ila wenye navyo ni wagumu sana kuvitoa au kumtoa kwakwe coz hizo pesa ni viumbe hai na hizi habari zinazo ingia mijini kunarupia au mercury ni uongo njia za mataperi kwanza pure red mercury from ground ni chakula cha majini wanawezaje kuwakwepa majini wotewalio tuzunguka na kuifikisha mjini kama sio story hizi
kwani ukiwa nayo tu yenye wajomba nao wanakufuata pale ulipo
 
ujui unachokisema jeruman rupiee na mali zao zingine huwez pata inayotafutwa kwenye HII historia ya wajerumani(German Oster Africa(DOA) ) iliopo hapa TZ mpka kwao
Huo ni uzushi tu mnatafuta watu wa kuwapigia waTZ sasahivi tumejanjaruka!
 
Back
Top Bottom