Rupia: Hazina ya Mjerumani

Rupia: Hazina ya Mjerumani

nimekua nikifuatiria tokea mwanzoni nimeona watu wengi wanataka kujua tatizo wanaoleta mada inawezakana pingine wamesimuliwa tu ndiomana wamepata chakuanzia ila ukweli mimi nimmoja wapo muhanga wa haya mambo nazungumzia pesa za kizamani pamoja na mercury historyndefu kidogo kwani nilijikuta napoteza mda mwingi juu ya haya mambo mwisho nikajikuta naanza kujifunza uchawi kwaupande wa mercury ilibaki kidogo sana niingie mimkononi mwa usalama wataifa pasipo kujua kama nipo mtegoni labda kidogo nielezee mercury imegawanyika ktk langi tofauti ila langi pendwa ni mbili yani nyeupe na nyekundu pia kuna makundi mawili yani ya asili namaanisha ya kwenye mwamba na yakutengeneza kazi kuu ya mercury ni kuosha malanyingi hutumiwa kwenye machimbo ya dhahabu kuoshea dhahabu ila yakutengeneza hapa ndipo kwenye utata ulipo nianzia baada ya tafuta tafuta na kujifanya mjuuaji wa hivi vitu ndipo nilikutana na kaka mmoja akaniambia ana viboxi 20 vya unga wa mercury ikumbukwe unga huu ndio hutengeneza mercury ambayo yakutengeza na pia unga huu wa mercury hutumika kuoshea mizinga ya jeshi nazani kidogo mnaanza kunipata na ikisha tengenezwa mercury tofauti yake hua ni ndogo sana kuijua na yamwamba paka ufahamishwe nivipimo gani hua vinatofauti kama ni umeme sawa sijui maji sawa sijui tambaa sawa kwawanao jua watakua wamenielewa sasa huyu kaka akaniambia tutafute soko ikumbukwe hizo chupa hakunionyesha ila kwamaneno nilimuamini nakwavile nilikuwa nataka pesa ndipo nilipo ingia mzigoni kutafuta tajiri mama yangu ngoja kwanza humu kuna usalama wa taifa .
Habari zaidi
 
Nilichojifunza Ktk hii threads.
1.Wanerumani wameacha Mali nyingi sana Hapa Tanzania
2.mali Hizo zipo Ktk majabali.mawe Mkubwa.misitu.mapangoni .makanisani.majengo Ya zaman.kuna Eneo Dodoma njia Ya shinyanga kuna mlima mkubwa kiasi ,Chini ya huo mlima pamejengwa kijumba limeshakuwa gofu wameweka bango lina Alama yao.hivi km freemasonic sign
3.watanzania wengi waoga sana Na. Hawana ujasiri.unaambiwa Hapa kuna Mali Chini Lkn naogopa Hata kujaribu kufukua.km utakufa so basi?Lkn ukifanikiwa Pia ni faida kwako.
4.hayo mavitu yaliyopo chini ya ardhi sio mali wala nini.km ni mali je serikali yetu haijui Hizi Mali?mtu una jeshi polisi.na silaha za kivita unashindwaje kuzivamia Hizo Mali zilizopo Chini na kuzibeba.na Kwa uongozi Wetu huu kweli tunashimdaje?
5.Kama kweli makanisa yameshikilia Hayo Mali Chini napata Picha Sasa kuwa tunadanganywa Kwa mgongo Wa kanisai .kumbe watu wana yao
6.Kwenye makaburi mengi utakuta yammewekewa misalaba maeneo mbalimbali.lkn kumbe kuna Mali imefukiwa badala Ya mtu.lkn mengine yanalindwa.
7.Wazungu wachoyo sana km.kweli huku kuna Mali nyingi wamefukia kwanni haawasemi Na. Kishirikina Na. Serikali yetu hii Na. Kuziingoa Mali Na. Kuziigawana?
Habari zaidi
 
Asante hii kitu imenifumbua macho kwenye baadhi ya vitu maana nilikua nafikiria pia kuhusu haya mambo.

Kuna Jamaa alichimba na kujaribu kuweka hata vibarua ila akavunjika mkono ndio ikawa hivyo tena akaachana na hiyo habari.
Habari zaidi
 
Kuna maeneo mengi watu waliamka asubuhi na kukuta mashimo tu yaliyofukuliwa usiku...ukweli ni upi!? Walipata?walikosa? Haijulikani
Eneo moja pale Mbwewe tulikuta mizoga miwili ya kondoo hirizi tunguli kaniki na zana za kuchimbia
Sijui nini kiliwatokea hao watu lakini inaelekea walitimua mbio. .
Mashimo kama haya yapo sehemu nyingi[emoji116] [emoji116] [emoji116] View attachment 526144
Habari zaidi
 
Umesema kweli na kuna wajerumani wawili walikuwa na. Pikipiki kila mmoja ambazo so za kawaida zinaweza kutembea dunia mzima bila kuchakaa.Walifika mji wa malinyi jirani na mahenge
Wakauliza kijiji Fulani kipo mbali ma malinyi.Kijana mmoja walimkodia pikpiki awapeleke.Baada ya kuwafikisha wakamlipa na kumwambia aende zake.Baada ya siku mbili walipita na kutuaga kuwa wamekosa walichokuwa wanatafuta.Lakini Dalili zilionesha kuwa walipata.
Habari zaidi
 
Nakumbuka miaka fulani kijiji jirani na chetu kuna vijana walikuwa wanatafuta hiyo mali, walichimba shimo refu sana wakifuata alama zilizowekwa lakini mwisho wa siku mwenzao alikufa kimazingara ndani ya hilo shimo baada ya kukutana na nyoka wa ajabu, hali hiyo ilisababisha wenzake kukimbia
Kwa hapo ndio kuna utata, kuna sehemu nyingi sana mpaka alama zipo lakini tatizo ni mazingara ndio hukwamisha watu kuelewa kilicho ndani
Habari zaidi
 
Eneo moja mbeya tukuyu mwakareli inasemekana jamaa walificha mali kwenye ceiling board kanisani na lile kanisa wakati wanaenda kufunga msalaba juu mfungaji mzungu aliporomoka hadi kufa. Mpaka leo msalaba haukukamilika kamesimama kamoja tu kawima.
Walirudi kwa mbwembwe ya kufumua cealing board wakarabati waliishia kufumua na kubeba mali zao wakatembea. Habari yako ina element nyingi za ukweli.
Habari zaidi
 
Mkuu umenivunja nguvu kabisa yaan,nipo mkoani mtwara wilaya masasi kuna milima mingi(rock mountans) ila kuna huu mlima mkubwa mmoja upo sehemu kuna itwa mailisita watu wengi hupanda juu kwa ajili ya matambiko ila kuna wanaoamini kwamba juu ya mlima huu kuna dhahabu nyingi ndipo na mimi nikaunda timu yangu ya watu watatu twende juu uko sijawah fika ila wenyeji wangu wamefka na wanasema kuna pango kubwa limezibwa na zege,dah sasa kuna uwezokano hawa jamaa washachukua vyao kwa sababu chini ya mlima kuna nyumba za masista.Sasa bora nlurudishe majeshi tu .
Habari zaidi
 
Haya mambo nilsikia kwa rafiki wangu wa karibu niko nae hapa anatokea Mbeya,
Kuna mzungu alikuwa anaenda sana maeneo fulani Mbeya wakamfatilia wakajenga urafiki na jamaa fulani ambaye alikuwa close na huyu mzungu
wakafanikiwa kumshawish jamaa ili siku amzunguke yule mzungu ili washkaji( rafiki yangu na bri ake) wapate kupekua mabegi ya mzungu
walifanikiwa na wakakuta kuna ramani ya hii story ya RUPIA wakafanikiwa mpaka kutoa nakala zoezi lilifanyika bila mzungu kujua.
Wakatafuta mpaka kifaa cha ku detect madini( Sort of EM Ground Penetrating instruments).
Wakaenda kweny location one wakakuta kuna nyumba imejengwa wakaongea na mwenye nyumba ili wafanye vipimo na kifaa chao, ni kweli waligundua kuna sanduku, lenye bunduki na mercury though hawakuchimba..
Maeneo mengine kweny ile ramani wanadai yapo sehem za hatari sana hata kufikika,..
Kuhusu Zege Inakumbuka alinambia eneo moja kuna mtu tajiri Mbeya alitumia hadi greda akashindwa kuvunja.
[HASHTAG]#Hashtag[/HASHTAG] Kusaka Rupee.....
Haya ndio niliyowahi kusikia ndugu zangu,
Alexander
Habari zaidi je walipeleka wapi mercury?
 
Hivyo vitu yani madini nikweli yaliachwa mi hapa binafsi kijijin kwetu kwa utashi Wangu kijijin kwetu kuna sehemu kulikuwa na becone fulani alafu nondo ikawa imechomoka juu tukawa hatuelewi walikuja jamaa fulani ambao kati yao mmoja alikuwa wa maeneo ya kwetu alikuwa someone informed na mwingine alikuwa ni mzungu wengine hatukuwajua that was 1985 na wqlikuja mchana sa8 tukichunga hapo wakafanya yakwao pale kichotokea baada ya kupomoa hixo zege la nguvu walitoa chupa fulani zilikuwa na tobo chini ambalo ukingiza kidole kinazama chupa zilikuwa na red mercury yule jamaa wa kwetu a lichenga Magorofa mpaka Leo yupo sasa jiulize red mercury 1gram ni million ngapi na Walitoa chupa 5 za lita 2...
Habari zaidi
 
Nilioana documentary moja hawa jamaa walivyohamisha masanduku ya chuma kurudi kwao lakini time wasn't on their hands ilibidi nyingine wazifukie

Kama technology ingekuwa kama ili to leonamandege makubwa wangebeba kila kitu.
Habari zaidi documentary ya nchi gan?
 
Yaan kumbe uchaw wa wazungu ss tukasome kuna moja sanduku limepgwa CEMENT mlima flan juu ya jiwe ukigusa anatokea nyoka mkubwa vichwa 12 zen anakufukuza had ujikojolee ndo anakuacha (utan)
Hahaha
 
Sidhani kama hiki kitu ni kweli. Kuna watu walizusha kwamba kwenye milima ya Usambara hao wajerumani walificha mali zao na waliwaua wale waswahili waliobeba zile mali ili kuficha siri ya uwepo wa hizo mali. Katika miaka ya themanini likazuka kundi la watu na kuna mtu alifadhili ufukuaji wa hizo mali.
Katika hilo kundi kuna Bwana mmoja alidai babu yake alikuwa ni mmoja wa wapagazi wa Wajerumani na alifanikiwa kuwachoropoka Wajerumani na kutokomea baada ya kufukia hizo amali. Eti pia babu yake aliwahi kumueleza kwamba hapo kwenye hilo eneo ndipo zilipofukiwa hizo mali na kuna alama maalum za kijerumani ambazo zinapatikana kwenye hayo mahandaki zinazotambulisha hayo maeneo. Na kwamba alama hizo ziliwekwa wakati wakifukia na pia huonyesha uelekeo wa sehemu zilikofichwa hizo mali.
Walifukua kipande cha mlima na baada ya tajiri kuona huo ni uongo alitokomea bila kuwaaga. Waliendelea kufukua na kukopa chakula, ila kila siku waliendelea kupungua (walitoroka kimyakimya). Hakuna walichopata zaidi ya kuambulia madeni!
Habari zaidi
 
Jamani hiii nikweli waliacha mali Tanzania..kuna maeneo mengi ukitembea milimani utakuta vyuma flani vya mviringo vimejazwa udongo wa cement kali.juu kuna maandishi yanaonesha vipimo flani vya umbali kutoka usawa wa alama hiyo ilipo.ninae changia maada hii ninauhakika. Ila cjawahi kuona wamefika na kuchukua mali ila hali hii ipo kabisa.. Nivigum kuamini kwasababu tumechelewa kupata elim lkn habari hii ni yakweli kabisa
Picha?
 
Dah inawezekana juzi nilikuwa nabishana na mtu mmoja wa mbea alisema kuna kanisa moja walijenga wajerumani huko mbeya na walikuja kutaka kulibomoa lote kumbe walikuwa wakichukua hazina zao nilimbishia sana leo naikuta hapa huwenda kuna ukweli
Habari zaidi
 
Back
Top Bottom