The king mswati
JF-Expert Member
- Jun 20, 2020
- 787
- 825
Unanakili mstari wa URL pale juu kwenye ukurasa.
URL wa ukurasa huu ni https:++www.jamiiforums.com+threads+rupia-hazina-ya-mjerumani.292142+page-41 (nimeweka + badala ya / ili ionekane) na kuimwaga hapa. Tayari.
Jamani, rupia za Wajerumani zipo madukani kimataifa na kwa hao wanaozikusanya. Hazina thamani kubwa. Chungulia mwenyewe kwenye tovuti za wafanyabiashara wa sarafu za zamani. Na hakika hakuna akiba kubwa inayofichwa sijui pangoni au chini ya ardhi.Rupia zipo kaka zinatafutwa na zina thamani kubwa. We kwa kuwa uliibiwa una conclude kuwa ni utapeli!
Usiseme tapeli kama hujui nini kinaongelewa, ninayo kama unataka picha niktumie,Utaperi mtupu huo
Si njema kumhukumu kuwa ni tapeli moja kwa moja na ndiyo maana aliuliza je zinachukuliwa na kama kuna aitakaye basi awasiliane naye pia waongee....kwahiyo hapo ni swala la maamuzi tu..Usiseme tapeli kama hujui nini kinaongelewa, ninayo kama unataka picha niktumie,
post hapa na tarehe ya leo tuone mkuuZa asubuhi forum member, jana nilikua nachimba msingi wa nyumba,wakati mafundi wanaendelea kuna coin ya zaman waliichimbua imeandikwa 5 heller.Naomba kuuliza hzo coin bado zina matumizi au kuna watu wanazitafuta ili niweze kuwauzia kama wanazinunua, naomba majibu yenu na kama anayezihitaji anicheki pm kwa mawasiliano.
Nawasilisha.
Nasikia izo coin ukibatika kuipata basi lazima utoe kafara ndo uipeleke sokoni sivyo unaweza ukachinja familia nzimaZa asubuhi forum member, jana nilikua nachimba msingi wa nyumba,wakati mafundi wanaendelea kuna coin ya zaman waliichimbua imeandikwa 5 heller.Naomba kuuliza hzo coin bado zina matumizi au kuna watu wanazitafuta ili niweze kuwauzia kama wanazinunua, naomba majibu yenu na kama anayezihitaji anicheki pm kwa mawasiliano.
Nawasilisha.
Yeah hizo ni Mali sana aiseeRupia zipo kaka zinatafutwa na zina thamani kubwa. We kwa kuwa uliibiwa una conclude kuwa ni utapeli!
Hapana.Nasikia izo coin ukibatika kuipata basi lazima utoe kafara ndo uipeleke sokoni sivyo unaweza ukachinja familia nzima
Sio kweli mkuuNasikia izo coin ukibatika kuipata basi lazima utoe kafara ndo uipeleke sokoni sivyo unaweza ukachinja familia nzima
Si rahisi kupiga picha kaka
Si rahisi kupiga picha kaka
pole mdogo wangu hiyo siyo picha ni video na nikusaidie pia huwa zinachukuliwa video bila Flash light...Pole sana kwa elimu ndogo juu ya haya.Si rahisi kupiga picha kaka
Acha utapeli