Rupia: Hazina ya Mjerumani

Rupia: Hazina ya Mjerumani

Unanakili mstari wa URL pale juu kwenye ukurasa.
URL wa ukurasa huu ni https:++www.jamiiforums.com+threads+rupia-hazina-ya-mjerumani.292142+page-41 (nimeweka + badala ya / ili ionekane) na kuimwaga hapa. Tayari.

Tiari ishawekwa na mdau mmoja, kaangalie
 
Rupia zipo kaka zinatafutwa na zina thamani kubwa. We kwa kuwa uliibiwa una conclude kuwa ni utapeli!
Jamani, rupia za Wajerumani zipo madukani kimataifa na kwa hao wanaozikusanya. Hazina thamani kubwa. Chungulia mwenyewe kwenye tovuti za wafanyabiashara wa sarafu za zamani. Na hakika hakuna akiba kubwa inayofichwa sijui pangoni au chini ya ardhi.
 
MWENYE RUPIA ZIFUATAZO: FUFUMARK, RUPIA YA SIMBA WAWILI, RUPIA YA KITUMBUA , RUPIA NYEKUNDU , DINALI YA JICHO... NA MWENYE VITU VIFUATAVYO: MAJI MEKUNDU AU MEUSI (MERCURY) , MWENYE PASI , JIKO , CHEMLI , KIKOMBE , KUFULI NA VIFAA VYA MATUMIZ YA MAJUMBAN.. TAJIRI YUPO NA BIASHARA INAFANYIKA DAR ES SALAAM KWA UHAKIKA NA UFANISI WA HALI YA JUU, MATAPELI TAFADHALINI MKAE MBALI NA HILI HATUNA MUDA WA KUPOTEZA CONTACT 0716637717, 0785510604 AU 0769767771
 
Za asubuhi forum member, jana nilikua nachimba msingi wa nyumba,wakati mafundi wanaendelea kuna coin ya zaman waliichimbua imeandikwa 5 heller.Naomba kuuliza hzo coin bado zina matumizi au kuna watu wanazitafuta ili niweze kuwauzia kama wanazinunua, naomba majibu yenu na kama anayezihitaji anicheki pm kwa mawasiliano.
Nawasilisha.
 
Usiseme tapeli kama hujui nini kinaongelewa, ninayo kama unataka picha niktumie,
Si njema kumhukumu kuwa ni tapeli moja kwa moja na ndiyo maana aliuliza je zinachukuliwa na kama kuna aitakaye basi awasiliane naye pia waongee....kwahiyo hapo ni swala la maamuzi tu..
 
P
Za asubuhi forum member, jana nilikua nachimba msingi wa nyumba,wakati mafundi wanaendelea kuna coin ya zaman waliichimbua imeandikwa 5 heller.Naomba kuuliza hzo coin bado zina matumizi au kuna watu wanazitafuta ili niweze kuwauzia kama wanazinunua, naomba majibu yenu na kama anayezihitaji anicheki pm kwa mawasiliano.
Nawasilisha.
post hapa na tarehe ya leo tuone mkuu
 
Za asubuhi forum member, jana nilikua nachimba msingi wa nyumba,wakati mafundi wanaendelea kuna coin ya zaman waliichimbua imeandikwa 5 heller.Naomba kuuliza hzo coin bado zina matumizi au kuna watu wanazitafuta ili niweze kuwauzia kama wanazinunua, naomba majibu yenu na kama anayezihitaji anicheki pm kwa mawasiliano.
Nawasilisha.
Nasikia izo coin ukibatika kuipata basi lazima utoe kafara ndo uipeleke sokoni sivyo unaweza ukachinja familia nzima
 
SOKO LA KUAMINIKA LA MALI ZA KIJERUMANI TU LIPO HAPA DAR ES SALAAM VITU VIFUATAVYO AU VYENYE UKARIBU NA HIVI ... MERCURY , PASI, STOVA, KOROFINDO, KUFULI , KIKOMBE, CHEMLI.. PIA FUFUMARK , RUPIA NYEKUNDU, RUPIA YA KITUMBUA , RUPIA YA SIMBA WAWILI ,DINALI. TAFADHALI VIGEZO KUZINGATIWA NA HAKIKISHA MZIGO USIWE NA MASHARTI YA BABU AU BIBI ANATAKA HV AMA VILE LETA KAZI TUFANYE KAZI SOKO LIPO BILA SHAKA ....0785510604,. 0716637717,. 0752591369
 
Si rahisi kupiga picha kaka
Acha utapeli
pole mdogo wangu hiyo siyo picha ni video na nikusaidie pia huwa zinachukuliwa video bila Flash light...Pole sana kwa elimu ndogo juu ya haya.
Karibu sana ujifunze
 
Back
Top Bottom