NADHARIA NA IMANI YA MASANDUKU YA WAJERUMANI
Siku moja nadhani ilikuwa ni April 2020, wazee wawili ambao nafahamiana nao hapa Dodoma mjini waliniambia kuna sehemu inasadikika yapo masanduku yenye mali za Wajerumani, hivyo nione kama nitaweza niambatane nao twende huko kwa mwenyeji wao kwanza atupe maelezo zaidi ikibidi atupeleke eneo yalipo.
Ni Wilaya ya Dodoma mjini maeneo ya Ihumwa sio mbali toka mjini nauli daladala Tsh. 700/=,
Nikaona ngoja niongozane nao kujua kipi kitajiri huko.
Tulifika nyumban kwa huyo mwenyeji wao ni mzee kiasi alitupokea na kuanza kutupa nadharia ya pale ambapo inasadikika kuna hayo masanduku, alisema kuna mlima ambao upo karibu na hapa kwa boda boda ni kama Tsh. 2000/= mkiwa tayari hata sasa niwapeleke.
kwenye huo mlima kuna jiwe refu ambalo juu ya kilele kuna alama inayoonekana ni kama mlango ambao umezibwa kwa cement yaani ni kama mfuniko.
Kufika pale kileleni ndio changamoto (kwa maana ya nyenzo za kupanda na kukufikisha kule juu) kwani kuna watu kama watatu alishawapeleka wakashindwa kupanda na kufikia eneo lile walijaribu kuunganisha ngazi lakini haikufika,
Anasema mlima huo kiasi una maajabu yake kwani kuna wakati mkiwa kule mtasikia mara watu wanapiga ngoma,
(Na maelezo mengine mengi sio rahisi kuandika hapa yote)
Baada ya maelezo hayo wale wazee wangu walisema tumepata picha halisi ilivyo hivyo ngoja turudi tukajipange tutakuja kufanya hiyo kazi.
Baada ya kurudi nyumbani sijaweza kuwa nao karibu kuzungumzia jambo hilo, kwani kwa maelezo ya yule mwenyeji hata hawa wazee nilioenda nao wanaoa sio kazi rahisi, Pia haina uhakika baada ya kufikia kilele kile na kufunua mfuniko kuna nini ndani yake.
[/QUO

Njoo pm mzee wa masanduku