Smart Guy
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 6,808
- 6,934
Sawa mkuuUliza wenyeji watakupa ufafanuzi. Ni muhimu sana kujifunza wenyeji wanasemaje, utapata mengi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuuUliza wenyeji watakupa ufafanuzi. Ni muhimu sana kujifunza wenyeji wanasemaje, utapata mengi
Umakin unahitajika sana hapa.
OFISI YA UTAMADUNI MKOANI MBEYA TUKUYU NIMEFANYIA KAZI PALE KAMA STAFF ILA SINA UHAKIKA NA HAYA YA KUTEMBEA UKASKIA KUNA DALILI ZA UWAZI CHINIBinafsi nimeshiriki sana kwenye hiyo biashara......kuna ukweli fulani lakini sehemu kubwa ni utapeli kwasababu ya ujinga na kukosa elimu kwa watu wengi. Watu wengi wanangaika kutafuta hivyo vitu lakini ultimately hakuna mtu anayemtaja mnunuzi wa uhakika...wanunuzi wote ni wa kufikirika.
Uzoefu wangu: NI kweli kuna hazina nyingi sana ambayo Wajerumani waliaacha Tz....wakati ule Msuya akiwa Waziri Mkuu katika ziara yake moja Ujereumani aliomba apewe ramani za sehemu ambazo wajerumani waliacha hazina ili zifukuliwe na zigawanywe. Jibu alilopewa ni kuwa hazina nyingi zilikuwa za watu binafsi wanaweza kushirikiana kwenye hazina za nchi ambazo nyingi zina vitu vya serikali....silaha, nk.
Hazina ya serikali pale Mbeya Tukuyu ipo jengo la mkuu wa wilaya...hata kwa macho ukiangalia ile ofisi imejengwa juu ya mlima wa kutengenezwa kule chini ni shimo kubwa sana. Mlango wa kuingilia upo ofisi ya afisa utamaduni wa wilaya. hata ukitembea kwenye ofisi utaona kuna hali ya kuonyesha chini kuna mtikisiko wa uwazi. Mlango mwingine nadhani uko nyumba aliyokuwa akiishi OCD. Miaka kumi iliyopita shirika la moja la Ujerumani waliomba kukarabati boma la mkuu wa wilaya na waliomba ukarabati uanzie ofisi ya utamaduni. Watu wakamshtua aliyekuwa RAS wa mkoa Mbeya (name withheld) akazuia ukarabati huo
Kule kijiji kwa akina Kapteni Komba kuna wageni wajerumani walichimba mashimbo kanisani na kwenye baadhi ya majengo ya kanisa hayo mashimo yalikuwepo hadi mwaka 2006 nilipopita hapo
Kuna kijiji kimoja cha akina Joyce Mhaville (wa ITV) nimekisahau kule Njombe baada ya Isoliwaya kabla hujafika Mfriga kuna binti wa kizungu alikuja kama kama volunteer akakaa baada ya miezi kadhaa akawaita wanakijiji wamsaidie kuchimba shimo fulani akawaambia mkifika sehemu ngumu muache ili nililete vifaa vingine usiku huo akaenda peke yake akachukua cha kuchukua asubuhi wakakuta shimo tupu na binti akatoweka hadi kesho.....sehemu inaitwa Lupembe
Kuna sehemu Mbeya inaitwa Ileya....pale kuna mzungu alikuwa tajiri sana yeye pia alificha mali zake jirani kabis na kanisa la Moravian hata alama za mawe alizoweka kuelekeza alipoficha mali zipo sema vile ni muda mfupi alama hizo zinapotea unapoingia kwenye vichaka. Baada ya kanisa la RC chini ya ''mtafutaji'' mashuhuri retired Afisa Usalama (name withheld) kushtukia hiyo dili waliamua kununua eneo lote hilo ili baadaye waanze kutafuta hizo mali wenyewe.
Kifupi ni kuwa Nyerere aliamua kujenga magereza, JKT, Shule sehemu zote ambazo alihisi kuna hazina ya madini au wajerumani waliaacha mali zao
The story goes on and on.................................
Hiyo ya mbozi misson nilisikia ni kweli maana kanisa la morovian lipo poa hospitali ipoKanisa la mbozi mission na hospital yake
3.Sehem nyingine ni lilipokuwa soko kuu la mbeya pale mbele ya benki ya NMB mbalizi road ambalo liliungua na linatarajiwa kujengwa soon,guess mkandarasi aliyeshinda tenda ya kujenga pale ni kutoka inchi gani? Makampuni makubwa ma5 yaliomba ,moja la israeli,jingine la austaria,jingine la ujerumani na mengine ya wachina! Wajeruman wameshinda tenda wataanza ujenzi any time baada ya bunge hili la bajeti i guess.
3.Sehem nyingine utashangaa pale wajerumani walipokwenda kujenga matenki makubwa ya mradi wa maji ambao wameudhamini wenyewe kwa karibu 90% na waliutoa maalumu kwa mkoa wa mbeya tu! Ambao hauna shida sana ya maji ukilinganisha na mikoa ya kati na kusini mwa tz! Mradi huo utamaliza tatizo la maji mby kwa miaka 20! Ijayo imean hadi 2032! PALE UYOLE WALIPOJENGA HAYO MATENKI YAO YA MAJI PALIKUWA NA MASANDUKU YAO!
MRADI HUU AWAMU YA KWANZA IMEKAMILIKA NA JK KAUZINDUA WIKI HII HII KAMA SIKOSEI!
Awamu ya pili ya huu mradi ni kupeleka bomba la maji hadi tunduma umbali wa km 103! Ili wapitie na sehem zingine !
4. LAKE NGOSI TUKUYU MBY!
Zipo sehem kibao nikianza kuwatajia hapa sitazimaliza so tukirudi kwenye mada nikwamba kweli rupia ya mjerumani inamambo tatizo ni namna ya kuipata coz sehem zote ilizofichwa wajerumani walikuwa wanafanya makafara ya watu kuanzia 10 na kuendelea ambao hubaki hapo kama majini kulinda ila wao wanavyokuwa wanakuja kuchukua huwa kuna maneno flani huyatamka na hayo madudu hutambua mwenye mali kaja either mtoto au mjukuu wake! So huwa hayasumbua tofaut na mswahl ukienda pale na hii ki2 ikapelekea wengi kwenda kwa waganga ambako hupewa masharti ya kutafuta viungo vya binadamu hasa albino!
Nadhan mkuu umenielewa kama unamaswali zaidi ni pm namba yako ntakujuza zaid
source: mimi mwenyewe ninafanya kazi za uchimbaji madini hasa dhahabu nipo matundas chunya na pia ni graduate ktk fani ya mining enggrng UDSM
Lol🤣🤣🙀i was once involved with wht i kol "rupia and mercury corn artists.
....... kwnz rupia yenyewe niliifata hko Lushoto Milimani mwaka 2009 na huyo babu alikua anataka 15m in exchange ya hyo rupia......
tatzo ilikua sio pesa koz aliejiita mteja alitoa dau la 400m, ila hayo masharti tuliopewa ndio kiboko halaf hayaishi.
mara uchinje ng'ombe wa matambiko, mara ukachome mishumaa 52 baharini, mara usisafiri jumanne ..........etc
inshort am dealin with gems for a livin lakini we don't have any rituals........ nw y rupia?
i stand strong to tell all jf members nt to engage in dis staff........ unaeza geuka mganga at the end of the day
Mbozi mission pale walishatoa na mashimo yapo mpaka leoBinafsi nimeshiriki sana kwenye hiyo biashara......kuna ukweli fulani lakini sehemu kubwa ni utapeli kwasababu ya ujinga na kukosa elimu kwa watu wengi. Watu wengi wanangaika kutafuta hivyo vitu lakini ultimately hakuna mtu anayemtaja mnunuzi wa uhakika...wanunuzi wote ni wa kufikirika.
Uzoefu wangu: NI kweli kuna hazina nyingi sana ambayo Wajerumani waliaacha Tz....wakati ule Msuya akiwa Waziri Mkuu katika ziara yake moja Ujereumani aliomba apewe ramani za sehemu ambazo wajerumani waliacha hazina ili zifukuliwe na zigawanywe. Jibu alilopewa ni kuwa hazina nyingi zilikuwa za watu binafsi wanaweza kushirikiana kwenye hazina za nchi ambazo nyingi zina vitu vya serikali....silaha, nk.
Hazina ya serikali pale Mbeya Tukuyu ipo jengo la mkuu wa wilaya...hata kwa macho ukiangalia ile ofisi imejengwa juu ya mlima wa kutengenezwa kule chini ni shimo kubwa sana. Mlango wa kuingilia upo ofisi ya afisa utamaduni wa wilaya. hata ukitembea kwenye ofisi utaona kuna hali ya kuonyesha chini kuna mtikisiko wa uwazi. Mlango mwingine nadhani uko nyumba aliyokuwa akiishi OCD. Miaka kumi iliyopita shirika la moja la Ujerumani waliomba kukarabati boma la mkuu wa wilaya na waliomba ukarabati uanzie ofisi ya utamaduni. Watu wakamshtua aliyekuwa RAS wa mkoa Mbeya (name withheld) akazuia ukarabati huo
Kule kijiji kwa akina Kapteni Komba kuna wageni wajerumani walichimba mashimbo kanisani na kwenye baadhi ya majengo ya kanisa hayo mashimo yalikuwepo hadi mwaka 2006 nilipopita hapo
Kuna kijiji kimoja cha akina Joyce Mhaville (wa ITV) nimekisahau kule Njombe baada ya Isoliwaya kabla hujafika Mfriga kuna binti wa kizungu alikuja kama kama volunteer akakaa baada ya miezi kadhaa akawaita wanakijiji wamsaidie kuchimba shimo fulani akawaambia mkifika sehemu ngumu muache ili nililete vifaa vingine usiku huo akaenda peke yake akachukua cha kuchukua asubuhi wakakuta shimo tupu na binti akatoweka hadi kesho.....sehemu inaitwa Lupembe
Kuna sehemu Mbeya inaitwa Ileya....pale kuna mzungu alikuwa tajiri sana yeye pia alificha mali zake jirani kabis na kanisa la Moravian hata alama za mawe alizoweka kuelekeza alipoficha mali zipo sema vile ni muda mfupi alama hizo zinapotea unapoingia kwenye vichaka. Baada ya kanisa la RC chini ya ''mtafutaji'' mashuhuri retired Afisa Usalama (name withheld) kushtukia hiyo dili waliamua kununua eneo lote hilo ili baadaye waanze kutafuta hizo mali wenyewe.
Kifupi ni kuwa Nyerere aliamua kujenga magereza, JKT, Shule sehemu zote ambazo alihisi kuna hazina ya madini au wajerumani waliaacha mali zao
The story goes on and on.................................
Vipi walitoboa kupata mtejaUjalazimishwa kuamin na wala me sio rupia dealers ila nimesema tu nilichoona kuhusu rupia. Na wap nilipoiona usipende kucoment kila mtu anachosema ukiona cha uongo au hakina maana unatulia wapo ambao watachukua. By the way wenzenu wamefungua shule tayar we bado upo au ada tatizo?
Walitoboa nini wakati watu wameteka mji mpaka leo wanaushikiria.... Au unaota😂Vipi walitoboa kupata mteja
Walitoboa nini wakati watu wameteka mji mpaka leo wanaushikiria.... Au unaota😂
Mbona hakuna alama yoyote hapo ni mawe tukati ya alama zilizopo kayika mapango
Hii stori niliiskia pia nilivoishi mbozi 2016-2017Mbozi September 27, 2008
WAFA WAKICHIMBUA VITO VYA WAJERUMANI
WATU watatu wamefariki wakifukua hazina inayodhaniwa kufukiwa na wamishionari Wajerumani katika kijiji cha Mbozi wilayani Mbozi mkoani Mbeya.
Tukio hilo lililotokea juzi mchana katika eneo la kanisa la Moravian usharika wa Mbozi Mission lilisababishwa na watu hao kukosa hewa katika shimo hilo ambalo linaaminiwa kufukiwa dhahabu na rupia.
Afisa Mtendaji kata ya Igamba Ambakisye Waya amewataja marehemu kuwa ni Green Sichone (50), mapacha Erick na Sadock Mnkondya (30) wote wakazi wa kijijini hapo.
Waya alisema kuwa mapema mwaka huu wachimbaji hao walipata taarifa kutoka kwa mtu asiyefahamika zikielezea kuwepo kwa hazina kubwa ya dhahabu, sarafu na vito mbalimbali vya thamani vilivyohifadhiwa na wamishenari wa Kijerumani waliofika kufungua misheni hiyo mwaka 1902.
“Agosti mwaka huu watu hao walituma maombi kwa baraza la wazee wa kanisa chini ya Mchungaji Lordrick Sichone ya kutaka kuchimbua eneo hilo na kutafiti iwapo haizna hiyo ipo, baraza liliwaruhusu kufanya kazi hiyo” Aliongeza mtendaji huyo.
Alisema kuwa watu hao walichimba mashimo mawili kati ya mwezi Agosti na Septemba ambapo katika shimo la pili lililokuwa na upana wa mita 2 na kina mita 17 walipata vikwazo kwa kuibuka maji na upungufu wa hewa ambapo iliwalazimu kutumia mashine ya kuvuta maji na kupeleka hewa.
Naye Mchungaji Sichone alisema kuwa baada ya kuona watu hao hawatokei kwa muda mrefu aliamua kwenda kuchungulia ambapo aliona shimo likiwa limejaa moshi na harufu ya petroli na maiti wakielea juu ya maji.
Kamanda wa Polisi mkoani hapa Zerothe Stephen alithibitisha tukio hilo na akamtaja Mchungaji Sichone kuwa ndiye aliyegundua tukio hilo.
Chanzo: maishanivita dot blogspot dot com