mysteryman
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 1,065
- 365
huwa nakasirika wenye sauti nzito maarufu kama washereheshaji.................yaani wakati taarabu inaendelea yeye nakuwa anasema maneno maneno mara amtaje Mama Filani.................aghghhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!
Mkuu sio uswahilini tu. pale mtaa wa kenya kinyama jamaa alifunga mtaa kwa maspika ya nguvu na watoto wanguvu waliletwa kucheza. mi huwa nakaa pembeni kwa nyuma naangalia wanavyokata mauno, hadi raha. halafu j2 pale masaki maeneo ya chole road kama unaenda barabara ya barrick karibu na ofisi za ccm kulikuwa na mziki wa kufa mtu kuuliza nini eti sijui wanapongezana. masebene dar yanapigwa kila sehemu. tofauti ni kwamba uswahili wanafunga mtaa, uzunguni wanafunga juu ya maghorofa. Mia
ufukweni napatamani ila hela ndo tatizo...........am so bored with such kind of life! Natamani rusha roho mtaani zipigwe marufuku!!!!!!
unaishi uswazi ipi?
sisi wabongo na tabia zetu za kikw....le hizo.
Mtu shurti afunge mtaa ili aweke heshma.....lol
mimi niliwanyamazisha.......japo wana chuki na mimi sasa!
unaishi uswazi ipi?
sisi wabongo na tabia zetu za kikw....le hizo.
Mtu shurti afunge mtaa ili aweke heshma.....lol
mimi niliwanyamazisha.......japo wana chuki na mimi sasa!
Mimi ni mkazi we maeneo ya uswahilini, yaani huku kwetu ni kelele tupu usiku kuanzia ijumaa mpaka juma pili !! ni kelele za miziki maarufu kama rusha roho!!!
Kinachoshangaza huwa wanapiga hiyo miziki usiku kucha afu wanaizima asubuhi.........what sorts of a fallacy!!!!!????
:angry:
Huwa nacheza nyuma ya wowowo la mamako.
dawa ya moto ni moto. tit for tat, wadhungu wanasemaga!
nunua king'ora (honi) cha train, weka juu ya nyumba yako, unganisha kwenye grid kwa kutumia appropriate adaptor (inverter).
wakipiga rusha roho yao, unganisha king'ora chako. ngoma droo, au vp?
mwenye kukerwa na mwenziwe atatafuta suluhu....
it works, trust me!
sio unacheza mbele yake kabisa muungwana.ivi wewe una wazazi,haswa Mama?
Ya wazazi wangu hayakuhusu.