mysteryman
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 1,065
- 365
huwa nakasirika wenye sauti nzito maarufu kama washereheshaji.................yaani wakati taarabu inaendelea yeye nakuwa anasema maneno maneno mara amtaje Mama Filani.................aghghhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!
tena siku hizi ndo kama fasheni kuna huyo wanamwita cjui msaga sumu anaharibu sana nyimbo za watu