Uongozi wa Dawasa Ubungo mnachowafanyia wananchi wa Mbezi Tabata /Msumi ingekuwa enzi za mzee John pombe ni uhujumu uchumi
Kwa nini mnataka muwaunganishie wananchi maji kwa 150,000?
Kwani ninyi hamlipwi mshahara? Au ndiyo mnavyotumwa na wapizani kuwaudhi wananchi mnafikiri mtafanikiwa?
Acheni hizo tabia kachukueni mabomba pale kwa Dimoso yafukieni watu wapate maji jamani