DOKEZO Rushwa, huduma mbovu kwa wafanyakazi sekta binafsi

DOKEZO Rushwa, huduma mbovu kwa wafanyakazi sekta binafsi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Mimi ni machine operator katika kampuni binafsi ya wahindi (the box factory limited, kisarawe 2,kigamboni), kusema ukweli tunaonewa sana huduma mbovu, usalama mdogo.

Pia kuna kipindi wanakuja TUICO lakini wanaishia kwa meneja mwajiri wanachukua rushwa wanasepa mimi kama mkereketwa nina iomba jamii forum itufikishie hili jambo serikalini.

Suala la TUICO iwe lazima kwa wafanyakazi wote tunaonewa na hatuna pa kushtaki, hatujui haki zetu wa sheria ya kazi
 
Back
Top Bottom