Rushwa ilianza vp?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mpige mtoto wa kitanzania ,kisha mbembeleze kwa kumpa biskuti ,akimaliza mwulize nani kakupiga atamtaja mtu mwingine hivi ndo rushwa ilivyoanza Tanzania
rushwa ilianza kwa kutoa sadaka kwenye matambiko mizimu wahenga then kwa miungu na watu wengine wa kiimnai baadaye shetani mkuu akaiweka kila mahali ikabadili jiba ikajiita rushwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…