Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Mpige mtoto wa kitanzania ,kisha mbembeleze kwa kumpa biskuti ,akimaliza mwulize nani kakupiga atamtaja mtu mwingine hivi ndo rushwa ilivyoanza Tanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
rushwa ilianza kwa kutoa sadaka kwenye matambiko mizimu wahenga then kwa miungu na watu wengine wa kiimnai baadaye shetani mkuu akaiweka kila mahali ikabadili jiba ikajiita rushwaMpige mtoto wa kitanzania ,kisha mbembeleze kwa kumpa biskuti ,akimaliza mwulize nani kakupiga atamtaja mtu mwingine hivi ndo rushwa ilivyoanza Tanzania