Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,024
- 11,546
Kweli kabisa inabidi watumbuliwe hawa, haiwezekani wakafanya madudu kwa kiwango kikubwa na kuwawekea bond watoto walio maliza 4m mwaka janaTangazo lilikuwa lipo sana applicant yeyote atakae jaza invalid numbers,Application yake itakuwa nullfied and will not be processed(rejected). Sasa imekuwa hizo application ziwe proccessed wakati applicant amejaza invalid index number .Mmepokea rushwa namba zilizokuwa zinatumika kupokelea rushwa ntaziweka hapa na miamala yake
Hayo majina Inawezekana ni fake kuwadanganya watu kuwa serikali imetoa ajira Kumbe hakuna kitu.Serikali yatoa ufafanuzi wa hoja, ajira mpya za waalimu.
Na. Angela Msimbira OR-TAMISEMI
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhandisi Joseph Nyamhanga, Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimeti ya utumishi wa umma na utawala bora Dkt. Laurean Ndumbaro na Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Leonard Akwilapo wametoa ufafanuzi juu ya hoja mbalimbali zilizojitokeza kwenye ajira mpya za waalimu...
Mkuu basi inatosha naona umekomaa na hili jambo toka juzi kama wakuchukua hatua wangeshachukua hao hawana nia ya kutatua ajira nchi hii lengo lao watu waishi kama mashetan
#NASEMA UONGO NDUGU ZANGUUUU
Hao TAMISEMI, wameingizwa chaka na wakurugenzi wa Halmashauri. Wakurugenzi walielekezwa watume majina ya walimu wanaojitolea kufundisha shule za awali, msingi na sekondari, ili wapewe kipaumbele katika ajira.1.Eng. Joseph Nyamhanga- katibu mkuu tamisemi
2. Dkt. Laurean Ndumbaro- katibu mkuu utumishi
3. Dkt. Leonard Akwilapo- katibu mkuu wizara ya elimu.
Mkuu ukisema niliache hili kuna hewa nyingi itaingia serikalini. Acha niendelee kulisemea hata wasipo chukua hatua ukweli utakuwa umejulikanaMkuu basi inatosha naona umekomaa na hili jambo toka juzi kama wakuchukua hatua wangeshachukua hao hawana nia ya kutatua ajira nchi hii lengo lao watu waishi kama mashetan
#NASEMA UONGO NDUGU ZANGUUUU
Hawa Dr's wamebobea katika nyanja zipi hasa?1.Eng. Joseph Nyamhanga- katibu mkuu tamisemi
2. Dkt. Laurean Ndumbaro- katibu mkuu utumishi
3. Dkt. Leonard Akwilapo- katibu mkuu wizara ya elimu.
Angeongea nini mbele ya madudu aliyoyafanya?Aibuuu nyamhanga anachekacheka tu hata kuongea hawezi shame
Ajira hizi zina ukakasi wa kutosha.Serikali yatoa ufafanuzi wa hoja, ajira mpya za waalimu.
Na. Angela Msimbira OR-TAMISEMI
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhandisi Joseph Nyamhanga, Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimeti ya utumishi wa umma na utawala bora Dkt. Laurean Ndumbaro na Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Leonard Akwilapo wametoa ufafanuzi juu ya hoja mbalimbali zilizojitokeza kwenye ajira mpya za waalimu...
Mkuu Alwatan kamba ,Mwenyezi Mungu akubariki sana kwa uchanganuzi mahiri sana.Kwanza naomba nianze kwa kutoa masikitiko yangu juu ya wizara ya Tamisemi.
Tamisemi ipo chini ya ofisi ya Rais kwa maana hiyo ndicho kioo cha Rais. Wizara ikiboronga maana yake inamchafua Rais na ikifanya vizuri na Rais anakuwa amefanya vizuri...
Kongole sana mkuu na Mwenyezi Mungu akubariki sana "Prof Hans",Barua ya wazi kwa sekretarieti ya ajira na TAMISEMI
Ndg, Viongozi wenye dhamana inayohusiana na AJIRA hususani Ajira za ualimu Mimi kama Mtanzania wa kawaida mwenye akili timamu na ambae pia ni Mdau wa ELIMU Naiomba Ofisi yako iweze kutoa ufafanuzi kuhusu baadhi ya majina ya waajiriwa wa Kada ya ELIMU Yaliyotolewa na Wizara yako pendwa na Nyeti ya TAMISEMI. Tarehe 27/11/2020 kuna baadhi ya majina ya waajiriwa yanaendelea kuwapatia watanzania TAHARUKI KUHUSU AJIRA ZAO...
Mkuu OTTER ,haya uliyoyaandika ni kweli!???Hao TAMISEMI, wameingizwa chaka na wakurugenzi wa Halmashauri. Wakurugenzi walielekezwa watume majina ya walimu wanaojitolea kufundisha shule za awali, msingi na sekondari, ili wapewe kipaumbele katika ajira. HAPO NDIPO KOSA lilipoanzia. Waliorodhesha ndugu zao hata wasiokuwa na sifa, waliwatafuta kwa TOCHI, kwa vile ndiyo ulikuwa mkakati matokeo yake hawajui asilimia kubwa ya wale wanaojitolea hawana sifa za kufundisha. Hivyo katika kutoa ajira walianza na hao kwa damu na jasho ili wapate ajira. Linapotekea suala la sifa hapo ndipo wanashindwa kutoa majibu. NENDA KILA HALMASHAURI ULIZA MAELEKEZO WALIYOPEWA WAKUU WA SHULE TOKA KWA VIONGOZI WAO. utacheka aisee.