Rushwa imeifikisha pabaya TAMISEMI. Je, hawa viongozi wanaoiongoza wanapaswa kuwepo hapo?

mnashangaa nini,kwani kwenye ychaguzi hamkuona MTU akipata udhindi kwa kura hewa
 
Mkuu OTTER ,haya uliyoyaandika ni kweli!?
Itakuwa vyema kila kitu kiwekwe hadharani ili tujue wapi tatizo la msingi limeanzia. Wengine tupo mbali na huko nyumbani,hivyo tungeona uthibitisho wa haya uliyoyaandika,tungeweza saidia nini cha kufanya.

Kuna barua ilikuwa inazunguka kwenye magroup ya wasap iliyokuwa ikielekeza hivyo. Fuatilia kwa walimu wakuu wa shule za msingi na sekondari ujumbe huo walipewa watakusaidia na hata nakala watakuwa nazo
 
Tano tena.

Hii yote ni michezo ya meko
 
hivi huyu ni prof Hans Mlawa ninayemjua au ni mwingine?
 
Kwani lengo la Tamisemi ni kutoa ajira ana ni kuuhadaa umma kwamba serikali ya awamu ya tano imetoa Tumia akili kidogo siyo mnaandika andika tu
 
Hawa viongozi wa tamisemi watumbuliwe kabisa haiwezwkani wapokee rushwa halafu waanze kuedit kwa watu waliokula hela pia wazirimpya wa tamisemi aondoe baadhi ya wafanyakazi wa Tamisemi.
Kwanini asianze mtumbuaji kujitumbua

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Mwingine huyu hapa

DAUDI MW ITA W ILLIAM
S0846-0089/2010

Huyu jamaa hayupo kabisa ila kapangwa mtanga secondary mwenye uelewa akahakikishe ilo jina kwenye PDF na kwenye matokeo yake ya necta utacheka ufe
 
Naliona baraza la mitihani likiiunguza TAMISEMI kwa spidi kubwa
 
Matokeo ya sayansi kufanya kazi ipasavyo,hivyo tuwe wapole kwani tumekuwa tukishangilia hata ujinga.
 
Mwanri atosha Tamisemi
 

Mwaka huu wajumbe wamepewa nafasi yakwenda kufundisha
 
Hatari na nusu. kwenye hii awamu Rais wangu anahujumiwa sana.tamisemi ifumuliwe.fullstop
 
Naomba haya
Naomba haya Majina yarudi TAMISEMI kwa marekebisho zaidi. Maana ni dhahiri shairi kuna Element za Rushwa katika ajira hizi.
Hizi ni Editing ambazo hazikubaliki hata kidogo.

Watu wenye Elimu seriously wameachwa ila wale wenye Elimu ya Muungano wamechukuliwa.Haiwezekani Index number yangu isomeke nimemaliza 2019 leo niajiliwe je nitakuwa nimesoma Kozi ya Muda gani?

NAOMBA SANA MAJINA HAYO YARUDIWE KWA UANGALIFU MKUBWA. TAMISEMI NI JUKUMU LENU KUANGALIA HILO KWA MASLAHI MAPANA YA TAIFA LETU.

Ahsanteni Sana
Nadhani wahusika watalifanyia Kazi.
God bless you guys.
 
Hatari na nusu.kwenye hii awamu Rais wangu anahujumiwa sana.tamisemi ifumuliwe.fullstop
Ukisema anahujumiwa hutakuwa sahihi kwani hakuna jicho lipofukalo kwa dole lako mwenyewe! Aliwateua watendaji aliowaamini na anaowaamini Hadi Sasa nao wanamwamini na kumsaidia kupita maelezo hawajawahi kumwangusha!
Usisahau kuwa kivuli Cha mtu ni mtu mwenyewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…