Mi naona TAMISEMI wameajiri kulingana na mwombaji sasa hiyo habari ya vyeti na nini na nini mwajiriwa angetakiwa kuwa navyo pindi atakaporipoti wilaya ama manispaa alikopangwa,sasa kama kutakuwa na udanganyifu,ama cheti hakijakidhi asingeruhusiwa kujaza mikataba ya ajira.Waombaji wa aina hiyo ni watafutaji maana nao walikuwa wanajaribu bahati yao,mtaani kugumu jamani.