Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Kumekua na kawaida ya maamuzi yenye utata ambayo yanainufaisha timu moja au timu kuwa katika kiwango duni sana siku ya mechi na kupelekea kufungwa kirahisi sana vitu ambacho vinahusishwa sana na rushwa
Unakuta coastal union anaikazia azam na kufungwa kwa mbinde sana alafu mechi ijayo anapigwa kirahisi kabisa
Imefika hatua mambo kama haya yachunguzwe na vyombo vinavyohusika na mchezo wa soka
Unakuta coastal union anaikazia azam na kufungwa kwa mbinde sana alafu mechi ijayo anapigwa kirahisi kabisa
Imefika hatua mambo kama haya yachunguzwe na vyombo vinavyohusika na mchezo wa soka